Zifahamu adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa zamani

Wanaita majina barabaran πŸ˜† zaman watu walikuwa na mda wa mchezo
Nini majina barabarani..!!! SHule ya bweni, usiku kinapigwa kingΓ³ra na mnakusanyika asembly.!! Sasa usionekane na ni usiku..!! Utakoma asubuhi yake..!!
 
Uweeeeeeeeee...!! ukibaki shule kwamba usiende, wanaita majina huko huko afu usionekane..!! Kesho yake utangΓ³a visiki ukome
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkitoka hapo mnaambiwa mrudi shule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani jiwe alikuwa wa zamani?
Tofautisha. Zamani hizo adhabu(licha ya kwamba zilikuwa ni za kikatili) zilitolewa baada ya Mtuhumiwa kupatikana na Hatia na Hukumu ikatolewa kwa mujibu wa Taratibu zilizokuwepo.
 
Kweli kabisa.
 
Watu bana, kutesa wengine.
 
Kwan ulikuwa unalazimishwa kwenda?au ilikuwaje? Najua zaman mpo shule mnaambiwa kwenda barabaran na matawi ya miti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mhhh! Bibie, Kuna kipindi Mheshimiwa akiwa uwanjani, huko mitaani wapo mgambo wakali kama pilipili kichaa wanapita nyumba kwa nyumba. Ole wako wakukute na sio mgonjwa. Vilabu vyote vya "manywaa" hufungwa hadi mkubwa aondoke.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…