Zifahamu adhabu za kikatili zilizotolewa na wafalme wa zamani

Kuna adhabu ya mfalme Dracular inasemekana alikuwa anawatia kitu chenye ncha kali mithili ya mkuki unapitishwa kwenye makadi na unaning’inizwa au kutokea mgongoni au mdomoni, though imasemekana ni stories tuu


 
Adhabu Kali hapa Tanzania Ni CCm tu
 
Mfalme Dracula ndio Vlad the Impaler (Son of the Dragon ) hayo mambo alifanya kweli na sio hadithi tu. Pia alikuwa na adhabu za kuchemsha watu kwenye maji ya moto, kuchuna watu ngozi wakiwa hai na nyinginezo nyingi tu.

And actually he's my role model.
 
Kama unaamini maandiko hii sio chai.
Yohana alimshinda yesu...?

Maama, Bwana Yesu alipewa adhabu ya bakora na misumari na akadanja.

Yohana, alichunwa ngozi then wamkaanga kama kuku ila haku danja..!!!

Kama kweli ni maandiko, bila shaka tumepigwa.
 
Wanaita majina barabaran [emoji38] zaman watu walikuwa na mda wa mchezo
Wanaweza wasiite majina. Wanahesabisha namba. Kila mtu anakariri namba yake. Kesho yake sasa wanaita wenye namba pembeni, msio nazo mtaeleza mlikuwa wapi.
 
Wanaweza wasiite majina. Wanahesabisha namba. Kila mtu anakariri namba yake. Kesho yake sasa wanaita wenye namba pembeni, msio nazo mtaeleza mlikuwa wapi.
Ila naona hii ni kwa usalama wa wanafunzi
Mmenda kwenye msafara basi wakati wa kurudi wote muwepo
 

Bado mpaka sasa kuna taasisi fulani inatumia baadhi ya hizo adhabu.
Naomba niishie hapo
 
Ila naona hii ni kwa usalama wa wanafunzi
Mmenda kwenye msafara basi wakati wa kurudi wote muwepo
Hiyo mbinu ya kuhesabu namba ilitumika kutuwahisha shule pia.
Unawahi shule asubuhi. Wanafunzi wanahesabu namba saa 6:45 asubuhi. Ukija later, ushakosa namba unangoja msala wako tu wakati wa assembly! [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…