Zifahamu aina tisa za nyota zilizopo kwenye ulimwengu wa roho

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Miaka mingi sana kumekuwa na uzushi kwamba nyota ziko 12 ule ni uongo mkubwa sana sasa leo nataka kukuonyesha aina tisa za nyota ambazo kila mtu yupo kwenye kundi lake na utajuaje kwa haraka haraka kundi lako la nyota

Jambo la msingi la kufahamu ni kwamba Yesu alipozaliwa nyota yake ilingara kama elimu ya nyota ni mbaya kwanini biblia iruhusu hii verse iwepo walijuaje ntaelezea elimu ya nyota kiundani (mathayo 2:1)

Nyota ni makundi ya damu iwe ni O-, O+, A- na mengineyo kwa hiyo wewe kama uko kundi la damu O+ basi hiyo ndo nyota yako kwa lugha nyepesi achana na mambo ya mwezi wa kuzaliwa au tarehe ya kuzaliwa
👇👇👇👇
Kuna nyota 9 dunian ambazo kila mtu yupo kati ya mojawapo

O+ (number ya nyota yako ni 9)
A+(number ya nyota yako ni 8)

B+ (number ya nyota yako ni 7)
O-(number ya nyota yako ni 6)
A-(number ya nyota yako ni 5)

AB+(number ya nyota yako ni 4)
B- (number ya nyota yako ni 3)

AB- (number ya nyota yako ni 2)
Rh-null & hh (number ya nyota yako ni 1) hawa ni wale wenye golden group na bombay group wapo wachache sana

Wewe kama group lako ni O+ basi nyota yako ni ya tisa na ina-alama ya number 9 ya kigiriki, kwa ambao wana A+ basi nyota yako ni number 8 na inaalama ya H kwa number za kigiriki, kama ni B+ nyota yako ni namba 7 na ina alama Z kwenye number za kigiriki kwa hiyo unashuka mpaka chini unafika kwenye number moja ya kigiriki

Sifa za pamoja za makundi yote tisa ya nyota
  • Kwenye Kila kundi la nyota kuna watu nyota zao huwa zinangara na nyingine zinafubaa mfano kwenye group O+ kuna watu nyota zao hungara sana na wengine wana O- nyota zao huwa zinafubaa sana na hii inaenda kwa makundi yote ya nyota wako wanaongara sana na wengine hawangari
Mambo ambayo ni ya uongo juu ya nyota ambayo watu wengi wamekuwa wakiaminishwa
  • Huwezi iba nyota ya mtu bali unaweza tumia nyota ya mtu na ikakufanikisha, wale waganga wanaosema wanaiba nyota ya mtu na kukupa ni waongo
  • Mfano wakristo mpaka leo wanatumia nyota ya Yesu, waislamu wanatumia nyota ya muhammad, apple wanatumia nyota ya steve jobs
  • Ni sahii kabisa kutumia nyota ya mtu na ukafanikiwa inarusiwa kwenye ulimwengu wa roho sio kosa mfano aliyeanzisha kariakoo ni mtu mmoja ila mpaka leo maelfu ya watu wanatumia nyota ya muanzilishi wa kariakoo kupata fedha
Watu wenye nyota kali wapo kwenye kila group na wanaitwa chosen one maisha ya hawa huwa ni magumu sana sababu kazi yao ni kutengeneza njia au mfumo watu wengine wautumie

Kila na nyota kali sio mara zote inamaanisha maisha mazuri bali mda mwingine ni mateso ukiwa na nyota kali kama chosen one

Kwa leo naishia hapa maswali yanakaribishwa

Kuna attachment nimeiweka ambayo inaonyesha alama za hizo nyota tisa kwa lugha ya kigiriki fahamu lugha kigiriki inatumika kwenye mambo yote ya science na spiritual
20260901_213654.jpg

Huduma zinaendela
👇👇👇👇
 
NISIKILIZENI NYIE NDUGU ZANGU

HAMNIJUI SIWAJUI

ILA UKITAKA UPOTEZE MUDA KATIKA MAISHA JARIBU KU-PRIOTIZE MAMBO KAMA HAYA.

MAISHA NI MAISHA. MAISHA YANAKUWA IMPACTED NA NAMNA YAKO AU YA WATU WENGINE

NA SIO NYOTA AU ROHO ,SIJUI NAFSI
 
Kila mtu ana maisha yake na hujalazimishwa kuyaamini
 
Miaka mingi sana kumekuwa na uzushi kwamba nyota ziko 12 ule ni uongo mkubwa sana sasa leo nataka kukuonyesha aina tisa za nyota ambazo kila mtu yupo kwenye kundi lake na utajuaje kwa haraka haraka kundi lako la nyota

Nyota ni makundi ya damu iwe ni O-, O+, A- na mengineyo kwa hiyo wewe kama uko kundi la damu O+ basi hiyo ndo nyota yako kwa lugha nyepesi achana na mambo ya mwezi wa kuzaliwa au tarehe ya kuzaliwa
👇👇👇👇
Kuna nyota 9 dunian ambazo kila mtu yupo kati ya mojawapo

O+ (number ya nyota yako ni 9)
A+(number ya nyota yako ni 8)

B+ (number ya nyota yako ni 7)
O-(number ya nyota yako ni 6)
A-(number ya nyota yako ni 5)

AB+(number ya nyota yako ni 4)
B- (number ya nyota yako ni 3)

AB- (number ya nyota yako ni 2)
Rh-null & hh (number ya nyota yako ni 1)

Wewe kama group lako ni O+ basi nyota yako ni ya tisa na ina-alama ya number 9 ya kigiriki, kwa ambao wana A+ basi nyota yako ni number 8 na inaalama ya H kwa number za kigiriki, kama ni B+ nyota yako ni namba 7 na ina alama Z kwenye number za kigiriki kwa hiyo unashuka mpaka chini unafika kwenye number moja ya kigiriki

Sifa za pamoja za makundi yote tisa ya nyota
  • Kwenye Kila kundi la nyota kuna watu nyota zao huwa zinangara na nyingine zinafubaa mfano kwenye group O+ kuna watu nyota zao hungara sana na wengine wana O- nyota zao huwa zinafubaa sana na hii inaenda kwa makundi yote ya nyota wako wanaongara sana na wengine hawangari
Mambo ambayo ni ya uongo juu ya nyota ambayo watu wengi wamekuwa wakiaminishwa
  • Huwezi iba nyota ya mtu bali unaweza tumia nyota ya mtu na ikakufanikisha, wale waganga wanaosema wanaiba nyota ya mtu na kukupa ni waongo
  • Mfano wakristo mpaka leo wanatumia nyota ya Yesu, waislamu wanatumia nyota ya muhammad, apple wanatumia nyota ya steve jobs
  • Ni sahii kabisa kutumia nyota ya mtu na ukafanikiwa inarusiwa kwenye ulimwengu wa roho sio kosa mfano aliyeanzisha kariakoo ni mtu mmoja ila mpaka leo maelfu ya watu wanatumia nyota ya muanzilishi wa kariakoo kupata fedha
Watu wenye nyota kali wapo kwenye kila group na wanaitwa chosen one maisha ya hawa huwa ni magumu sana sababu kazi yao ni kutengeneza njia au mfumo watu wengine wautumie

Kila na nyota kali sio mara zote inamaanisha maisha mazuri bali mda mwingine ni mateso ukiwa na nyota kali kama chosen one

Kwa leo naishia hapa maswali yanakaribishwa

Kuna attachment nimeiweka ambayo inaonyesha alama za hizo nyota tisa kwa lugha ya kigiriki fahamu lugha kigiriki inatumika kwenye mambo yote ya science na spiritual
View attachment 3661455

Huduma zinaendela
👇👇👇👇
Ushirikina na uzwazwa mtupu uliozungukwa na utapeli uchwara. Fanya kazi achana na kubabaisha u takufa maskini
 
Dogo mwenzake Ndejembi wala hakuwa ndoto ya urais, lakini ameshaukaribia.

Ama kweli kutamani kitu si kigezo cha kupata kitu.
Kunatofauti ya kutamani na kuwa ambitious
Unaweza tamani utajiri, na kuwa ambitious ya kuwa tajiri mwenye ambitious za kuwa tajiri atachukua hatua
 
Back
Top Bottom