Zifahamu aina tisa za nyota zilizopo kwenye ulimwengu wa roho

Zifahamu aina tisa za nyota zilizopo kwenye ulimwengu wa roho

Miaka mingi sana kumekuwa na uzushi kwamba nyota ziko 12 ule ni uongo mkubwa sana sasa leo nataka kukuonyesha aina tisa za nyota ambazo kila mtu yupo kwenye kundi lake na utajuaje kwa haraka haraka kundi lako la nyota

Jambo la msingi la kufahamu ni kwamba Yesu alipozaliwa nyota yake ilingara kama elimu ya nyota ni mbaya kwanini biblia iruhusu hii verse iwepo walijuaje ntaelezea elimu ya nyota kiundani (mathayo 2:1)

Nyota ni makundi ya damu iwe ni O-, O+, A- na mengineyo kwa hiyo wewe kama uko kundi la damu O+ basi hiyo ndo nyota yako kwa lugha nyepesi achana na mambo ya mwezi wa kuzaliwa au tarehe ya kuzaliwa
👇👇👇👇
Kuna nyota 9 dunian ambazo kila mtu yupo kati ya mojawapo

O+ (number ya nyota yako ni 9)
A+(number ya nyota yako ni 8)

B+ (number ya nyota yako ni 7)
O-(number ya nyota yako ni 6)
A-(number ya nyota yako ni 5)

AB+(number ya nyota yako ni 4)
B- (number ya nyota yako ni 3)

AB- (number ya nyota yako ni 2)
Rh-null & hh (number ya nyota yako ni 1) hawa ni wale wenye golden group na bombay group wapo wachache sana

Wewe kama group lako ni O+ basi nyota yako ni ya tisa na ina-alama ya number 9 ya kigiriki, kwa ambao wana A+ basi nyota yako ni number 8 na inaalama ya H kwa number za kigiriki, kama ni B+ nyota yako ni namba 7 na ina alama Z kwenye number za kigiriki kwa hiyo unashuka mpaka chini unafika kwenye number moja ya kigiriki


Sifa za pamoja za makundi yote tisa ya nyota
  • Kwenye Kila kundi la nyota kuna watu nyota zao huwa zinangara na nyingine zinafubaa mfano kwenye group O+ kuna watu nyota zao hungara sana na wengine wana O- nyota zao huwa zinafubaa sana na hii inaenda kwa makundi yote ya nyota wako wanaongara sana na wengine hawangari
Mambo ambayo ni ya uongo juu ya nyota ambayo watu wengi wamekuwa wakiaminishwa
  • Huwezi iba nyota ya mtu bali unaweza tumia nyota ya mtu na ikakufanikisha, wale waganga wanaosema wanaiba nyota ya mtu na kukupa ni waongo
  • Mfano wakristo mpaka leo wanatumia nyota ya Yesu, waislamu wanatumia nyota ya muhammad, apple wanatumia nyota ya steve jobs
  • Ni sahii kabisa kutumia nyota ya mtu na ukafanikiwa inarusiwa kwenye ulimwengu wa roho sio kosa mfano aliyeanzisha kariakoo ni mtu mmoja ila mpaka leo maelfu ya watu wanatumia nyota ya muanzilishi wa kariakoo kupata fedha
Watu wenye nyota kali wapo kwenye kila group na wanaitwa chosen one maisha ya hawa huwa ni magumu sana sababu kazi yao ni kutengeneza njia au mfumo watu wengine wautumie

Kila na nyota kali sio mara zote inamaanisha maisha mazuri bali mda mwingine ni mateso ukiwa na nyota kali kama chosen one

Kwa leo naishia hapa maswali yanakaribishwa

Kuna attachment nimeiweka ambayo inaonyesha alama za hizo nyota tisa kwa lugha ya kigiriki fahamu lugha kigiriki inatumika kwenye mambo yote ya science na spiritual
View attachment 3661455

Huduma zinaendela
👇👇👇👇
Kuna mtu anaenda kutapeliwa😂
 
Hizi ni hadithi za ubunuwasi.Na zipo jamii za waafirika kwa sababu ya umasikini wao.
Uko brainwashed sio kosa lako
Wagiriki ni moja ya jamii inayoongoza kwa mythical story na zimewapa umaarufu mkubwa sana duniani mfano story za kina zeus, medusa, themistocles n.k ila huwezi wasikia wagiriki wakiitwa brainwashed

Mfano harry porter, lord of the ring zile ni mythical ila ni moja ya vitabu maarufu duniani ila huwezi sikia wakiitwa brainwashed
 
Back
Top Bottom