Zifahamu aina tisa za nyota zilizopo kwenye ulimwengu wa roho

Zifahamu aina tisa za nyota zilizopo kwenye ulimwengu wa roho

Hakika. Tunajaji kila kitu negatively.
Hata mitaani tunapoishi anza tu kuwa maisha mazuri, yaani mambo yako yanaenda vizuri tayari ni kosa watu wataanza kukupiga majungu mara kasaudiwa na ndugu zake, mara kaloga inshort jamii yetu inachangamoto kubwa sana
 
Hata mitaani tunapoishi anza tu kuwa maisha mazuri, yaani mambo yako yanaenda vizuri tayari ni kosa watu wataanza kukupiga majungu mara kasaudiwa na ndugu zake, mara kaloga inshort jamii yetu inachangamoto kubwa sana
Ndiyo maana watu hawana ujasiri.
 
Ndiyo maana watu hawana ujasiri.
Hapa jamiiforum watu wengi wanatumia majina bandia ila bado kuna changamoto wanapitia wanaogopa kushare watu wapate msaada hata wa mawazo sababu wao wenyewe ni mabingwa wa kuponda karibia kila kitu cha watu wengine wakishare changamoto zao

Kwa hiyo tunaishia kudiscuss petty issues, uzushi, umbeya n.k na watoto wetu wanarithi tabia kama za wazazi na wakubwa zao alafu tunategemea mabadiliko hapana unavuna ulichopanda
 
Wagiriki ni moja ya jamii inayoongoza kwa mythical story na zimewapa umaarufu mkubwa sana duniani mfano story za kina zeus, medusa, themistocles n.k ila huwezi wasikia wagiriki wakiitwa brainwashed

Mfano harry porter, lord of the ring, hobbit zile ni mythical ila ni moja ya vitabu maarufu duniani na vimeuza sana ila huwezi sikia wakiitwa brainwashed

X_INTELLIGENCE
 
Nawe asante kwa kuukubali ukweli japo mchungu kuwa kinachofanyika ni ushirikina na ubabaishaji, utapeli na uzwazwa. Unaona?
Wewe ni mjinga kwa hiyo endelea kujifurahisha
Unavyosema ukweli mchungu ukiambiwa uthibitishe hizo tuhuma zako unaweza

Unauthibitisho wa mimi kukutapeli, kukuloga, unavyoniita mbabaishaji mimi na wewe tumeshafanya jambo lolote lile

Hivi unajisikiaje mtu akikuzushia mambo ya uongo
 
Nonsense unapotosha Tafuta mwalimu au vitabu vya elimu ya nyota Ufundishwe uelewe. Unaingiza mambo ya kibailojia kwenye Astronomy unafikiri humu jf wote hawakupata elimu Pole sana
 
Back
Top Bottom