Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Mkuu nikiri kuwa unenisaidia sana kutokana na andiko lako hili.KIPIMO CHA REFLUX ACID
Tuanze na kipimo maarufu kwa Tanzania ni Endoscopy.Kijimpira unapita mdomoni kisha wanaangalia kwa computer namna njia ya chakula ilivyoathirika.
MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD
-Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili kama ifuatavyo:⤵️⤵️
️⃣ MATIBABU YA KISASA
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers kama vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
-esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk.
Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.
️⃣ MATIBABU KWA TIBA ASILI/TIBA MBADALA.
-Njia hii inahusisha matibabu kwa kutumia mimea tiba na imeonekana kuwa na ufanisi mkubwa kutokana na uwezo mkubwa wa mimea mingi katika kupambana na magonjwa mbalimbali kwasababu mimea kutibu kiini cha tatzo kwa kuzifanya kuwa mpya seli za mwili hivyo kuufanya mwili kuwa na uwezo mpya katika kufanyakazi zake.Kama unajua mimea au uko jirani na chuo cha tiba mbadala Muhimbili (MUHAS) utatafuta mimea kama mtomko, unga wa kokwa la avocado na Mjafari.
-Ziko dawa nyingi asilia zenye uwezo mkubwa wa kupambana na matatzo ya ACID nying tumboni,mfano wa dawa hizo ni ULCERS BASI.
View attachment 3272383
Ubarikuwe sana.