Zifahamu dalili zinazoashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni

Zifahamu dalili zinazoashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni

Kama una hela fanya diet ya protein pekee kwa mwezi mzima. Kula nyama ya ng'ombe, mbuzi,samaki,mayai.

Avocados pia sio mbaya,wali ukipikwa make sure unakaa kwenye friji masaa 24 ndiyo upashe ule.Hii inasaidia kubadilisha aina ya wanga ndani yake ili usipandishe sukari kwa speed.

Hata mihogo, viazi vitamu na magimbi tia kwenye friji ili kubadili structure ya wanga . Kila ulapo chakula hakikisha nyama ni nyingi kuliko wanga.

Pia nunua Apple cider vinegar,kijiko kimoja kwenye glasi ya maji vuguvugu kunywa nusu saa kabla ya kula .
mkuu bei za dawa zipoje?
 
mkuu tupe mrejesho
Nilitibiwa kihospitali na kupata nafuu ya kutosha, kile kiungulia kikali kilitoweka.
Nachoshauri kama una tatizo linalofanana na hili, ni kwenda hospitali na kupimwa vipimo sahihi na kisha kuanza matibabu.
 
mkuu tupe mrejesho
Njia sahihi ni wewe kuanza dozi na kuleta mrejesho.Kumbuka kila mwili una uwezo wake wa na kasi ya kupokea dawa. Ndo maana ugonjwa mmoja kama malaria kuna dozi zaidi ya 3 hospitali.
 
Back
Top Bottom