multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 577
Hizi ndizo kazi za oil!
Lubricating
Cleaning
Cooling
Rust preventing
Tear and wear prevention.
Lubricating
Cleaning
Cooling
Rust preventing
Tear and wear prevention.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ebu weka picha ya hiyo stika na sehemu ya boneti inapokaa,na sisi tujirizishe kuwa ni km 15000 ndo tubadili engine oil.Kuna stika kwenye bonnet kwa ndani , gari ni Toyota imeandikwa kijapani , ukiiscan na Google translator , inasema badilisha engine oil every 15,000km. sijakosea , ni kilomita elfu 15.
Nafkiri oil za kizamani sana ndio unabadilisha hizo 5,000km , au 3,000km , siku hizi ziko improved mno kuokoa gharama kwa mtumiaji.
Yes technology ya oil imeadvance.. Ila km 15,000 kwa oil ni nyingi..Kuna stika kwenye bonnet kwa ndani , gari ni Toyota imeandikwa kijapani , ukiiscan na Google translator , inasema badilisha engine oil every 15,000km. sijakosea , ni kilomita elfu 15.
Nafkiri oil za kizamani sana ndio unabadilisha hizo 5,000km , au 3,000km , siku hizi ziko improved mno kuokoa gharama kwa mtumiaji.
Una attach vipi photo hapa mkuu ?ebu weka picha ya hiyo stika na sehemu ya boneti inapokaa,na sisi tujirizishe kuwa ni km 15000 ndo tubadili engine oil.
Nini tofauti kati ya oil ya diesel engine na ile ya petrol?Tabia yake
Oil inakuwa nyepesi jinsi inayopata joto na kuwa nzito jinsi inavyopoa.. Kwahiyo kufahamu viscosity sahihi kwenye cold start na operating temperature ni muhimu..!
Viscosity ni resistance ya oil kuflow.. Kwahiyo oil yenye viscosity kubwa ni ngumu kuflow hence nzito zaidi..!
Kazi yake
Kulainisha msuguano wa vyuma ndani ya engine..!
Oil pump inaizungusha oil kwenye sehemu za engine kama damu inavyozungushwa kwenye mishipa..
Wakati inarudi kwenye sump inakutana na oil filter ambayo inachuja uchafu na kuhakikisha oil inavyozungushwa ipo vizuri..!
Sump huwa inakuwa chini kabisa ya gari, as gari inatembea cold air inapooza oil kwenye sump na kusaidia kutoa joto kwenye engine..!
Aina zake
Mineral oil - hii inatokana na kuchujwa kwa crude oil..haina mambo mengi kwenye uzalishaji wake..molecules zake hazipo uniform.. Kwahiyo flow sio nzuri..bei ipo chini.. Interval ya service nayo ni karibu karibu..!
Semi Synthetic na Synthetic oil - hizi zipo very refined.. Hasa hasa synthetic.. Ni oil zinazotengenezwa LAB kwa formula.. Kwahiyo molecules zake zipo uniform.. Flow inakuwa nzuri..!
Interval yake unaenda kilometers nyingi..
Hapa panahitaji umakini.. Oil inaweza kuwa nzuri kwa kilometers nyingi ila oil filter isiwe na uwezo wa kwenda kilometers nyingi..!
Grading ya Oil
Oil imekuwa graded na hawa SAE kwenye makundi 2..Monograde na Multigrade..!
Mono kama jina lake.. Ina viscosity moja throughout..! Wakati Multi ni zaidi ya moja..
MFANO wa Monograde SAE40.. Hii inakuwa na viscosity ya 40 kuanzia cold start mpaka operating temperature.. Kwahiyo ukiwasha gari inabidi uipe muda kidogo ili oil ipande vizuri kwenye engine.. Unaweza ukawasha gari then ukaenda kuoga.. Mpaka ukitoka mambo yamekaa sawa..!
Hizi zinafaa kwa mazingira ambayo hakuna temperature change kubwa kwenye seasons kama hapa TZ..!
Mfano wa Multigrade 5W40.. Hii inabehave kama oil ya 5 viscosity kwenye cold start na 40 viscosity kwenye operating temperature..!
Kwahiyo ukiwasha tuu gari.. Oil itapanda chap kwenye engine haihitaji kusubiri muda..! Hizi zinafaa kwenye mazingira yenye mabadiliko makubwa ya temperature ndani ya mwaka..!
Hii inapunguza usumbufu wa kubadilisha oil wakati wa winter na summer..!
0W40 ni nyepesi zaidi ya 5W30 kwenye winter(cold start) .. Ila ni nzito zaidi kwenye summer(operating temperature).!
Jaribu kutafuta RAV4 model 97~99 SXA 11 cheki kwenye bonnet kwa ndaniebu weka picha ya hiyo stika na sehemu ya boneti inapokaa,na sisi tujirizishe kuwa ni km 15000 ndo tubadili engine oil.
Oil ya gearbox ya cami ni ipi mkuuZinapishana additives zinazowekwa..!
Mazingira ya kazi kwenye diesel engine ni tofauti na kwenye petrol engine..!
Inategemea na condition ya gari , kuanzia 30,000km mpaka 60,000km, na kama ni ATF itathmini kwa kuangalia rangi yake ikianza kuwa nyeusi , badilisha , weka oil ya brand nzuri , TOTAL, SHELL, CASTROL then unasahau miaka 4..Oil ya gear box inatakiwa kubadilishwa baada ya mda gan wakuu...?
Inategemea na condition ya gari , kuanzia 30,000km mpaka 60,000km, na kama ni ATF itathmini kwa kuangalia rangi yake ikianza kuwa nyeusi , badilisha , weka oil ya brand nzuri , TOTAL, SHELL, CASTROL then unasahau miaka 4..
Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
Mkuu habari, Uzi mzuri sana, naomba Ushauri Gari Engine 1NZ - FE T.Spacio Km 50,000 naomba kufahamu kupitia Manual book yake kuna Maelezo hapo kwenye hiyo Picha je nibadilishe kwa aina IPI ya oil kama inavyosomeka, nipo Dar. Asante.Tabia yake
Oil inakuwa nyepesi jinsi inayopata joto na kuwa nzito jinsi inavyopoa. Kwahiyo kufahamu viscosity sahihi kwenye cold start na operating temperature ni muhimu!
Viscosity ni resistance ya oil kuflow.. Kwahiyo oil yenye viscosity kubwa ni ngumu kuflow hence nzito zaidi..!
Kazi yake
Kulainisha msuguano wa vyuma ndani ya engine!
Oil pump inaizungusha oil kwenye sehemu za engine kama damu inavyozungushwa kwenye mishipa..
Wakati inarudi kwenye sump inakutana na oil filter ambayo inachuja uchafu na kuhakikisha oil inavyozungushwa ipo vizuri.
Sump huwa inakuwa chini kabisa ya gari, as gari inatembea cold air inapooza oil kwenye sump na kusaidia kutoa joto kwenye engine.
Aina zake
Mineral oil - hii inatokana na kuchujwa kwa crude oil..haina mambo mengi kwenye uzalishaji wake..molecules zake hazipo uniform.. Kwahiyo flow sio nzuri..bei ipo chini.. Interval ya service nayo ni karibu karibu..!
Semi Synthetic na Synthetic oil - hizi zipo very refined.. Hasa hasa synthetic.. Ni oil zinazotengenezwa LAB kwa formula.. Kwahiyo molecules zake zipo uniform.. Flow inakuwa nzuri. Interval yake unaenda kilometers nyingi..
Hapa panahitaji umakini.. Oil inaweza kuwa nzuri kwa kilometers nyingi ila oil filter isiwe na uwezo wa kwenda kilometers nyingi.
Grading ya Oil
Oil imekuwa graded na hawa SAE kwenye makundi 2. Monograde na Multigrade.
Mono kama jina lake.. Ina viscosity moja throughout. Wakati Multi ni zaidi ya moja.
MFANO wa Monograde SAE40.. Hii inakuwa na viscosity ya 40 kuanzia cold start mpaka operating temperature.. Kwahiyo ukiwasha gari inabidi uipe muda kidogo ili oil ipande vizuri kwenye engine.. Unaweza ukawasha gari then ukaenda kuoga.. Mpaka ukitoka mambo yamekaa sawa.
Hizi zinafaa kwa mazingira ambayo hakuna temperature change kubwa kwenye seasons kama hapa TZ..!
Mfano wa Multigrade 5W40.. Hii inabehave kama oil ya 5 viscosity kwenye cold start na 40 viscosity kwenye operating temperature.
Kwahiyo ukiwasha tuu gari. Oil itapanda chap kwenye engine haihitaji kusubiri muda. Hizi zinafaa kwenye mazingira yenye mabadiliko makubwa ya temperature ndani ya mwaka.
Hii inapunguza usumbufu wa kubadilisha oil wakati wa winter na summer.
0W40 ni nyepesi zaidi ya 5W30 kwenye winter(cold start) ila ni nzito zaidi kwenye summer(operating temperature).!
Engine bado mbichi kabisa..Mkuu habari, Uzi mzuri sana, naomba Ushauri Gari Engine 1NZ - FE T.Spacio Km 50,000 naomba kufahamu kupitia Manual book yake kuna Maelezo hapo kwenye hiyo Picha je nibadilishe kwa aina IPI ya oil kama inavyosomeka, nipo Dar. Asante.
Fraud kamaa hizi ni rahisi kuzingundua... Ukitaka kununua gari yard za bongo... Mwambie muuzaji akupe file lenye auction details kutoka huko gari liliko toka.. utaona auction rating, utaona odo zake wakati inauzwa, utaona service history na kama imewahi pata accident au lahOdo za kibongo zimechezewa mkuu. Jamaa kanunua gari yard ina 45k km
Kwa nini kitaalamu.Tumia 5W - 30
Kama gari yako odometer inasoma zaidi ya km 100,000 tumia 5W - 40