Zifahamu kazi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inayozinduliwa na Rais Samia

Zifahamu kazi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inayozinduliwa na Rais Samia

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmj katika hafla ya Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam

IMG_9819.jpeg


Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 kazi ya Tume hiyo ni pamoja na;

IMG_9820.jpeg
 
Ile habari ya kuchunguliana maliwatoni ndio itakoma au itapata baraka zaidi!
 
Tutarajie MM wa JF huko?
Haya, asante kwa Taarifa
 
Hii Tume ikifanya kazi bila kuingiliwa na kwa weledi, tutapata mazingira mazuri sana ya TEHAMA nchini
 
Back
Top Bottom