Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Basi Afrika rushwa ni hatari sana.Wakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Kwani wewe huoni tuko namba ya 2? Au wewe unasoma orodha kuanzia chini?Tanzania Tumeonewa, Tulistahili namba ya Juu
*****Wakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
🤣🤣🤣Ninavyoijua nchi yangu usikute hata iyo nafasi ya pili tumeipata kwa kutoa rushwa.
🤔 🤔 🤔Wakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
🤣 🤣 🤣Hii ni hatari sana. Na usikute trafiki ndiyo watakuwa wametubeba kwenye hiyo orodha.
🤣 🤣 🤣
Wakati wanafanya utafiti walikwenda wenyewe au walituma watu?Wakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Unaongelea rushwa ya kiwango gani? Rushwa ndogo ndogo ( unaniachaje mkuu/boss) au ya kuathiri uchumi au ya kuihujumu nchi kiusalama? Au hakuna vipengele vinavyofanana?Wakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Lugha ya kiingereza ngumu kaka.Ndio maana wavimba macho wanakurupuka ku comment.Wameona namba 1 na 2 wakajua ndio wanaongoza kwa rushwa wakati ni least corrupt countries in East Afrika.Uzi ukiwekwa huwa hamtaki kusoma mnakimbilia kucomment?
Hiyo list ni from least to most corrupt. Wameanzia yenye viwango vya chini kwenda juu
Wakuu,
Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu.
Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
Nchi za jumuia ya Afrika Mashariki ndio index inaonesha.Umeelewa kilichoandikwa?Shule ulienda kufanya nini?Kusomea ujinga?Hata ingekuwa ya ngapi... Ndani ya 10 sio habari nzuri hizi. Ila labda hawajafanya yao kiu ndani haswaa ingekuwa zaidi.
umeedit mkuu post yako haikuwa hivi.Hii ni hatari sana. Na usikute trafiki ndiyo watakuwa wametubeba kwenye hiyo orodha.