Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Una plan kuwa rais lini buashee?Nikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa???
Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa
Nikiwa Rais msisitizo utakuwepo kwenye hatua mbili za kwanza ya kutengeneza library (database) na mazoezi, huku kuendelea watafanya kampuni za kitanzania
- Kama nchi tutengeneze library kubwa itakayokuwa na chemical or compound zinazopatika kwenye nature na zinaposes unique features kama;- engulf, binding, blocking, marking, na brake
- Mazoezi, tutafanyia mazoezi kwa kuzitengeneza hizi chemical kwa njia ya laboratory (man made)
- Target pathogens or cells
- Matching unatafuta compound compound compound kwenye library ambazo ita-match kutokana na lengo ulilokuwa nalo
- Pre clinical trials, ukifanikiwa kupata chemical au compound inayo-matching unaenda kwenye pre Clinical trials
- Clinical trials- ukifanikiwa kwenye pre Clinical trials unaenda kwenye cliinical trials kwa binadamu
- Àpproval- Clinical trials ikiwa na efficacy ya zaidi ya asilimia 41 unaweza apply kwa ajili ya approval ili iweze kuuzwa sokoni
Kwenye video nimeelezea kwa uzuri na utaelewa vizuri
View attachment 3359151
Nina nyuzi karibia 50 na zote zina maono niliyonayo juu ya Tanzania na zimeelezea mambo tofauti tofautiKwa hiyo Wewe kipaumbele chako ni dawa tu?
Hata kama chakula hakuna raia wako wawe wanashindia madawa tu?
Afadhali hata kumpa Urais Hashim Rungwe raia watakuwa wanashiba ubwabwa kuliko tukupe wewe
Sijachelewa hata kidogoDaaah!! Watu Wana ndoto Bwana, ila umechelewa sanaaaa
unataka kuwa rais kwa tiketi ya chama ganiNina nyuzi karibia 50 na zote zina maono niliyonayo juu ya Tanzania na zimeelezea mambo tofauti tofauti
Ukifika ntawajulisha ntatumia chama kipiunataka kuwa rais kwa tiketi ya chama gani
Ukifika ntawajulisha ntatumia chama kipi
Pole na kazi Mr presidentNikiwa Rais wa Tanzania kutakua na mpango wa kuzalisha dawa hapa Tanzania, je wajua njia za kutengeneza dawa???
Zifuatazo ni njia za kutengeneza dawa
Nikiwa Rais msisitizo utakuwepo kwenye hatua mbili za kwanza ya kutengeneza library (database) na mazoezi, huku kuendelea watafanya kampuni za kitanzania
- Kama nchi tutategeneze library kubwa itakayokuwa na chemical or compound zinazopatika kwenye nature na zinaposes unique features kama;- engulf, binding, blocking, marking, na brake na zinaweza tumika na binadamu na viumbe wengine bila kuleta madhara
- Mazoezi, tutafanyia mazoezi kwa kuzitengeneza hizi chemical ambazo ni potential novel therapeutics compound laboratory (man made) ili kama ikifanikiwa kuwa approval iwe rahis kuizalisha kwa wingi (mass production)
- Target pathogens or cells
- Matching unatafuta compound compound compound kwenye library ambazo ita-match kutokana na lengo ulilokuwa nalo
- Pre clinical trials, ukifanikiwa kupata chemical au compound inayo-matching unaenda kwenye pre Clinical trials
- Clinical trials- ukifanikiwa kwenye pre Clinical trials unaenda kwenye cliinical trials kwa binadamu
- Àpproval- Clinical trials ikiwa na efficacy ya zaidi ya asilimia 41 unaweza apply kwa ajili ya approval ili iweze kuuzwa sokoni
Kwenye video nimeelezea kwa uzuri na utaelewa vizuri
View attachment 3359151
AhsantePole na kazi Mr president