Zifahamu siri za maisha

Du Mshana jr The Great!!...umeua kila kitu hapa!! Wewe ni kati ya Witchdokota vipanga nchini!![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Najzia kwenye siri namba 3

Ili ufanikiwe unahitaji mambo 4

1: kipaji
2: bahati
3: bidii ya kufanya kazi
4: kufanya ibada haijalishi dini
 
Haijalishi mashavu yamelegea kiasi gani ukitimiza ndoto watayabusu tu
 
Uzi mzuri Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…