Zifahamu siri za maisha

Mimi kwangu huu ndio Uzi bora kwa 2021
 
Aitheee! Haya madini nime-copy na kupetht kwangu. Samahani sikuomba kibali chako. Yatatusaidia wengi. Asante - Ubarikiwe Mkuu. πŸ™
 
Mausia yenye hekima sana nimeyapenda, isipokuwa kwenye point hizo mbili nilizozinukuu hapo juu.
Mara nyingi, (japo si mara zote), watu wanaorusha mawe kwa wengine ndiyo wanakuwa wana matatizo makubwa kuwazidi wale wanaowarushia mawe, na ukizingatia kuwa mtandao wenye matatizo MARA ZOTE huwa unakuwa na watu wengi zaidi ikiwa ni pamoja na ushirikiano wa kiwango cha juu sana, kuliko ule ambao hauna matatizo. Mtu anaweza kuwa mmoja lakini akawa against a clan or a tribe, huo uwezekano upo; tumeshafika huko sasa hivi.
Tuchukulie kwa mfano ulichoandika hapa, nyoka yuko juu ya mti unamrushia mawe, unataka aende akaingie ndani ya nyumba?. Kwenye mti au nyasi ndiyo mahali sahihi nyoka anatakiwa kukaa, mwache akae pale anapostahili kukaa, vinginevyo wewe utakuwa mchokozi. Unless kama nyoka hatakiwi kabisa kuwepo, hilo moja.

Pili: swala la mtu kupitia dirihshani milango inapokuwa imefungwa, hata kama ni nyumbani kwako watu wakikuona unapitia dirishani wanaweza wakapiga kelele za mwizi. Mara zote mtu ambaye huwa anapitia dirishani ni mwizi na anakuwa hana funguo za mlango wa nyumba. Hii mana yake ni kuwa unaweza kuua bila kujali kwa sababu wewe unachohitaji ni pesa tu. Unaweza hata ukawa unasimama madhabahuni pa BWANA ukiwa ume-pose kama Mchunga Kondoo wa BWANA kumbe ndani rohoni Mbwa Mwitu mkali,; swala la msingi kwako likiwa ni pesa tu.; the worst thing of all things in this world!

Nia yangu hapa ni kujaribu kuwa-alert watu pale inapotokea hekima kubwa imejichanganya na flaws kubwa na za ajabu namna hii; inabidi watu wawe wanaziona
 
Aitheee! Haya madini nime-copy na kupetht kwangu. Samahani sikuomba kibali chako. Yatatusaidia wengi. Asante - Ubarikiwe Mkuu. [emoji120]
Aaamen .. Yakifika hapa ni yetu sote
 
Nia yangu hapa ni kujaribu kuwa-alert watu pale inapotokea hekima kubwa imejichanganya na flaws kubwa na za ajabu namna hii; inabidi watu wawe wanaziona[emoji1545]
 
I love this from you baba mchungaji...Kudos
 
Ila kwenye maisha hakuna bahati, there is no luck

Only cause and effect.. Mimi binafsi naamin hakuna-ga bahati..
Bahati ipo kwenye "cause"ambayo ndio inayotupeleka huko "effect"

Chunguza kuna watu mmepambana kwenye Jambo moja lakini effect zenu ni tofauti. Tena kwenye hili unaweza kuwa wewe bidii ni KUBWA na Jambo umelianza kabla yake lakini kafanikiwa zaidi yako, hiyo ndio bahati ao kwa sisi wa Imani tunaita KUDRA ZA MWENYE ENZI MUNGU.

Mfano: Kati ya Mama na Mamvi nani katumia bidii kubwa kuupata URAISI.

Je alietumia bidii kubwa ,mbinu na muda mrefu kuusaka kaupata? Jibu ni hapana lakini mwenye bahati kagusa Tu Imooooo!!!!!!!!
 
Madini sana haya πŸ’―πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…