Zifahamu siri za maisha

Ndege wafananao huruka pamoja, kama unabisha muulize Mo na Manara...uzi bora kabisa.
 
Hongera ndugu yangu mshana,hili ni bandiko bora kabisa linalokuhitaji ufikiche akili zako viziri[emoji122][emoji122]....Ubarikiwe sana!!!
 
Hongera ndugu yangu mshana,hili ni bandiko bora kabisa linalokuhitaji ufikiche akili zako viziri[emoji122][emoji122]....Ubarikiwe sana!!!
Asante sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nalitangaza hili kuwa bandiko bora la mwaka.
 
ila "bahati!?"acha kabisa,kama una hakika kweli unayo, Mshukuru sana mola wako, omba,sali,fanya kila uwezalo ili tu isikutoke. Kupata kwa kiasi kikubwa kunategemea bahati,kusalimika kwa kiasi kikubwa kunategemea bahati."BAHATI"haijawahi kushindwa!!.
 
Una maana gani?
 
Bahati haiji hivi hivi tafuta marafiki wanaokujali kuwa wa kipekee jiongezee thamani kwa kujikubali na kuheshimu wengine jitoe kea wengine ishi na bahati ni kuwa hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…