Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Sana ubarikiwe [emoji120].Karibu bila shaka
AmeshasitafuuuuWachawi wanakuaga na akili sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Nalitangaza hili kuwa bandiko bora la mwaka.(Toka mtandaoni)
[emoji840]Soma kwa umakini sana Soma Siri zote[emoji840]
[emoji3502]Maisha hayana formula lakini yana siri kibao! Kamata hizi 11, zikikufaa zichukue na unibariki kimyakimya, hazikufai futa bila kunitukana kimyakimya![emoji286][emoji286]
Siri ya kwanza;
[emoji1428]Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!" Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake![emoji2047][emoji2047]
Siri ya Pili
[emoji1428]Usimwamini sana rafiki yako ,kwa sababu huyo rafiki yako ana rafiki yake ambaye Wewe si rafiki yako! Kama hunielewi subiri siku umseme bosi wako akurekodi halafu amrushie boss wako then boss wako ukurushie. Utatamani kufa[emoji3][emoji3]
Siri ya tatu;
[emoji1428]Kuna njia tatu tu za kufanikiwa maishani. Njia hizo ni 1.bahati, 2.kipaji na 3.bidii yenye akili! Jitafute ulipo! Huna bahati, huna kipaji halafu unalala mchana[emoji276][emoji276]!
Siri ya nne:
[emoji1428]Ukiwa na marafiki watano majambazi tegemea kuwa jambazi wa sita; ukiwa na marafiki watano wahuni tegemea kuwa muhuni wa sita, ukiwa na marafiki watano mabilionea tegemea kuwa bilionea wa sita; kasheshe ni masikini kumpata rafiki bilionea maana wahenga walisema ndege wanaofanana huruka pamoja. Kama huamini kamuulize Mo na Haji Manara[emoji87][emoji87]
Siri ya tano;
[emoji1428]Ukiona kila mtu anakurushia mawe usijifariji kwamba mti wenye matundo ndo unaopigwa mawe, kuna miti mingine inapigwa mawe kwa sababu ina nyoka! Kikubwa jitathimini pengine wewe ni Mfalme mwenye mkia, ila hujauona[emoji276][emoji276]
Siri ya Sita
[emoji1428]Kuwa makini sana na watu wanaosema tuko nyuma yako maana ukigeuka unaweza usiwakute Kama kivuli chako mwenyewe ikifika usiku kinakukimbia vipi huyo mtu asiyekula kwako?[emoji2378][emoji2378]
Siri ya Saba
[emoji1428]Ili ufurahie maisha jifunze kujinyenyekeza na siyo kujikomba! Unyenyekevu ni kiwango cha juu kabisa cha matumizi ya akili, kujikomba ni kiwango cha chini kabisa cha matumizi ya akili! Moja ya madhara ya kujikomba ni kuishi maisha yako yote umepiga magoti![emoji851]
Siri ya Nane
[emoji1428]Kabla hujafanya maamuzi jitahidi kupata ukweli wa jambo kutoka pande zote. Leo hii watoto wengi hawana mahusiano na baba zao kwa sababu ya kusikiliza ufundi wa mama zao katika kusimulia mabaya ya baba zao! Huyajui ya mama yako kwa sababu baba yako alichagua kuyaficha! Kama unamchukia baba yako hebu muombe msamaha kwanza halafu mwambie akusimulie ya mama yako ufe[emoji3]
Siri ya Tisa
[emoji1428]Mlango mmoja ukifungwa usihangaike kuufungua, unaweza ubomoa bure. Pita hata dirishani maana kisicho riziki hakiliki! Asiyekupenda muache aende zake, tena mpe na nauli kabisa[emoji2957]
Siri ya Kumi
[emoji1428]Hata kama umeishafika mbali kiasi gani, ukijua umepotea njia rudi kuliko kupotea jumla! Kuanza upya si ujinga.Bora uanze upya ufike salama kuliko kuendelea usifike [emoji2321]
Siri ya Kumi na moja
[emoji1428]Haijalishi umri umekwenda kiasi gani kama una ndoto kichwani amka ukaitekeleze kwa sababu umri ni namba tu na uzee hisia tu. Haijalishi mashavu yamelegea kiasi gani ukitimiza ndoto watayabusu tu[emoji2089][emoji2089]!
[emoji1374]muwe na Siku Njema[emoji1374]
ila "bahati!?"acha kabisa,kama una hakika kweli unayo, Mshukuru sana mola wako, omba,sali,fanya kila uwezalo ili tu isikutoke. Kupata kwa kiasi kikubwa kunategemea bahati,kusalimika kwa kiasi kikubwa kunategemea bahati."BAHATI"haijawahi kushindwa!!.(Toka mtandaoni)

Kweli leta mrejesho tujue ukiwa ni trueHaya ngoja niishi na haya maelekezo yako...nitaleta mrejesho mwezi 1..
Una maana gani?Wachawi ni walimu wazuri sana wa somo la saikolojia wanajua sili nyingi kuhusu elimu nafsi akikwambia ktu kifanyie kazi lazima utapata feedback kukihusu
Mshana Jr ni mchawi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] and i know you will never believe me ila fanyia kazi mabandiko yake hutaweza kutoka salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati haiji hivi hivi tafuta marafiki wanaokujali kuwa wa kipekee jiongezee thamani kwa kujikubali na kuheshimu wengine jitoe kea wengine ishi na bahati ni kuwa haiSiri ya tatu;
Kuna njia tatu tu za kufanikiwa maishani. Njia hizo ni 1.bahati, 2.kipaji na 3.bidii yenye akili! Jitafute ulipo! Huna bahati, huna kipaji halafu unalala mchana![]()
!![]()
umenena vema sana,
wengine bahati nzuri huanzia tangu wanavyozaliwa, wengine wana zaliwa na bahati mbaya .
kazi kweli kweli....
anyway sisi tujitahid na kuzitengeneza hizo bahati , tuwe na bidii na tutumie vizuri vipaji vyetu tulivyojaliwa.
Anhaa!Hahahaha[emoji23]
Yap Amin kakaNajzia kwenye siri namba 3
Ili ufanikiwe unahitaji mambo 4
1: kipaji
2: bahati
3: bidii ya kufanya kazi
4: kufanya ibada haijalishi dini
Mhuuu[emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1533]