Zifuatazo ni sifa za mwanaume anayejitambua kama ifuatavyo

Najiona kama ndo mimi TU yaani.
 
Point no.25 ni kweli.
 
Na sio walevi kupindukia
 
Mtoa mada wewe ni jinsia Gani ???
Na hizi story wewe huzitoa wapi maana nyingine zonapotray character wa kike na nyingine wa KIUME
 
Hata hizo factor mbona ni situational
Situational haziko fixed kwa hizo 25, labda awe na element za cerebral palsy. Human brain is more complex than that, hence situational. Hizo factors amezi-narrate as if wanawake na wanaume wote wako sawa mentally, wanaishi mazingira yanayofanana na wana same IQ. We are more complex with diverse cultural background
 
Ahahahaha..mkuu we elewa tu kuwa mwamba yuko sasa, ni vile wewe unatumia akili nyiingi sana kwa hiyo IQ kubwa ulio nayo wakat mambo haya ni madogo sana 🤣🤣🤣🤣.
 
Hapa umenisema mimi kabisa kasoro namba
4. Huwa sipendi kujihusisha na masuala mengi. Napendelea kuyajua kwa undani yale ambayo nipo interested nayo tu

24. Sipendi kurudia kummuonya mtu jambo lile lile
 
Ahahahaha..mkuu we elewa tu kuwa mwamba yuko sasa, ni vile wewe unatumia akili nyiingi sana kwa hiyo IQ kubwa ulio nayo wakat mambo haya ni madogo sana 🤣🤣🤣🤣.
Ni ukweli, huwezi impose hizo principles kwa kila mwanaume, umezitoa wapi? Hayo si mambo madogo kama unavyosema, as if mwanamke lazima awe mtiifu na kuheshimu msimamo wa mwanaume kuhusu jinsi ya ku behave kwenye mahusiano.
 
Yan hapo ni kwamba, mwanamke a behave atakavyo behave ila mwamba habadilik ananyoosha rula. So hawez asepe au lah atulie,ndivyo nilivyoelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…