Zifuatazo ni sifa za mwanaume anayejitambua kama ifuatavyo

Kama ulikua hujui MWANAUME ANAEJITAMBUA anatakiwa kuwa na sifa zipi wacha nikufahamishe;-
Wanaume tupo wengi sana hapa duniani,
Lakini wanaume wanaojitambua niwachache sana,
Sasa utajuaje mwanaume fulani anajitambua,
Au utajuaje wewe mwanaume mwenzangu unatambua,

1). Hazoeleki kiurahisi.

Moja ya sifa za wanaume ANAEJITAMBUA,
Huwa ni kutozoeleka kiurahisi na watu mbalimbali,
Hadi kumzoea mtu wa aina hii ni lazima uwe na sababu maalumu.

2). Wana roho nzuri ila wana maamuzi magumu sana.

Siku zote watu wa aina hii huwa na roho nzuri sana,
Huwa na huruma lakini wapo vizuri kufanya maamuzi mazito pale inapobidi,
Na akifanya maamuzi huwa haangalii watu wengine watasemaje au kumchukulia vipi,
Yaani akiamua kitu kaamua habadilishi full stop.

3). Haishi maisha ya kuigiza.

Siku zote mwanaume anaejitambua huwa haigizi maisha,
Huishi maisha yake halisi, haigizi maisha.

4). Anajua vitu vingi.

Wanaume wa aina hii huwa na uelewa wa vitu vingi sana,
Ni ngumu kumuuliza kitu fulani akawa hakijui kabisa.

5). Anasimamia mipango yake bila kuyumbishwa.

Kama nilivyosema kwenye hapo juu kwenye pointi namba mbili kuwa,
Akishaamua kufanya kitu huwa hayumbishwi tena,
Haijalishi anaambiwa na nani nakwasababu zipi,
Kama anahisi ni muhimu kwake kukitekeleza basi atafanya kwa vyovyote vile.

6). Haoni shida kuanza upya.

Ni watu wepesi sana kuamua kuanza upya,
Kama ni mahusiano yakilegalega ni rahisi tu kuachana nayo na kuanza upya,
Kwenye chochote kile kama hakiende sawa huamua kuanza upya.

7). Jasiri sana.

Mwanaume anaejitbua huwa hawaogopi kitu,
Mala nyingi huwa ni jasiri kwenye kila kitu,
Na huwa wanajiamini sana kwenye kila kitu.

8). Hawapendi mikopo.

Mwanaume anaejitambua hapendi kukopakopa,
Yani ukiona amekopa ujue amekopa kwa jambo la msingi sana,
Na hilo deni atafanya juu chini alilipe kwa wakati,
Kwasababu hata kama anaemdai hamkumbushii deni lake,
Lakini yeye hajihisi huru mpaka deni alipe,
Yani kitendo cha kudaiwa tu kwake automatically hujisikia kero.

9). Hana cha kuongea na x wake.

Akiachana mwanamke huwa hamrudii tena,
Na kamwe hana tena muda wa kumtafuta,
Au kumpigia simu labda kama amezaa nae,
Na ikiwa kazaa nae akipiga simu hupiga kwasababu ya mtoto tu,
Yani akipiga simu huenda moja kwa moja kwenye pointi ya mtoto,
Hana muda kabisa wa kujua mambo mengine.

10). Hawezi kuwa chawa.

Mwanaume anaejitambua huwezi kumkuta anajipendekeza pendekeza kwa watu,
Na kuwa chawa ili apate pesa au awe maarufu.

11). Huwa hana cha kujadili na mwanamke msaliti.

Mwanaume anaejitambua ukimsaliti tu na akajua lazima akuache,
Yani hana muda wa kujadiliana kuhusu usaliti,
Ni lazima hayo mahusiano yake atayavunja.

12). Hababaishwi na muonekano wa mwanamke au ufundi wake kitandani.

Haijalishi wewe ni mrembo kwa kiasi gani,
Haijalishi wewe ni fundi kitandani kwa kiasi gani,
Yeye ni mtu ambaye hababaishwi na vitu hivyo,
Kwa kifupi huwezi kumuendesha kwa uzuri wako.

13). Haoni shida kuondoka.

Iwe ni kazini wakimzingua ataacha hiyo kazi,
Tena hasa kama kazi yenyewe sio ya serikali ndio kabisaa,
Iwe kwenye mahusiano ukimzingua tu ataondoka,
Kwa kifupi anapenda vitu vilivyonyooka hataki longo longo.

14). Hapendi mwanamke mwenye drama na mapicha picha mengi.

Watu hawa huhitaji wanawake wanaojitambua na wasio na mambo mengi,
Yani hawataki mapicha picha kwenye mahusiano,
Aligundua tu kuwa huyu mwanamke hamuelewi,
Yani haraka sana huamua kumpiga chini,
Tena mala nyingi huachana na mwanamke wake bila ugomvi,
Yani wakati mwengine hata mwanamke haamini kama kaachwa,
Lakini jamaa ndio kashaamua hivyo na kamaliza.

15). Mwanamke ukikosea atakuwajibisha.

Hawafumbii macho mambo ya kijinga jinga,
Ukikosea atakuchana live kabisa bila kupepesa macho.

16). Wanajiamini sana.

Mwanaume anaejitambua huwa anajiamini sawa,
Sababu ya kujiamini ni kwakuwa wanajua vitu vingi,
Yani wanajua kipi sahihi na kipi sio sahihi.

17). Hawaoni shida kuwa wenyewe.

Mwanaume anaejitambua uwezo wake wa kuishi wenyewe bila kuhisi upweke ni mkubwa sana.

18). Hapendi uonevu.

Mwanaume anaejitambua huweza kumsaidia mtu yeyote,
Hata mtu asiyemjua pale tu anapohisi mtu huyo anaonewa,
Jamaa anaweza kuingilia kati na kumtetea mtu anaeonewa.

19). Kwenye mahusiano sio watoaji sana ila atahakikisha anakupa mahitaji yako ya msingi.

Mwanaume anaejitambua huwa hapendi kutoa toa hela bila mpangilio,
Na hii ni kutokana na mipango yake katika maisha,
Mwanaume anaejitambua huwa na mipango mingi ya maendeleo kichwani mwake,
Siku zote atajitahidi kukupa mahitaji yako muhimu,
Lakini sijui mtaani kuna harusi akupe pesa ya sare hilo sahau.

20). Huwa hawapo romantic.

Hawa ni wanaume ambao wanalalamikiwa sana kwenye mahusiano,
Kwasababu hawapo romantic ila ni wanaume bora sana hasa kwenye kulea familia.

21). Wana huruma sana.

Muda pekee utakaojua wana huruma ni pale utakapokuwa na shida,
Kama ni mwanamke wake ni pale utakapokuwa unaumwa au unapitia jambo lolote gumu,
Hawa ni wanaume ambao wana uwezo wa kupika, kufua, kuogesha watoto,
Pia kulisha na kufanya kila kitu kuhakikisha wanakusaidia.

22). Sio waongeaji sana.

Moja ya sifa yao kuu nyengine ni ukimya,
Muda mwingi wanahitaji kuwa kimya wakifanya mambo yao,
Ukiwa mwanamke unapenda kuongeaji sana,
Yeye muda mwingi atautumia kutabasamu unavyoongea,
Na akiamua kukujibu basi hukujibu kwa kifupi,
Na mara nyingi hunyamaza bila kujibu kama hiko ulichoongea atakiona hakina maana yoyote.

23). Hana marafiki wengi.

Mwanaume anaejitambua huwa hawana marafiki wengi,
Yani huwa wanachagua sana watu wakuwa nao kwenye urafiki.

24). Hupenda kukataza na kuonya mara nyingi.

Kwa mwanamke ukiwa na mwanaume wa namna hii,
Jiandae kukatazwa na kupata maonyo kwa wingi,
Lakini jambo zuri kuhusu hilo huwa wanakukataza,
Au kukuonya kwa jambo la msingi ambalo linaweza kukuletea shida,
Mara nyingi ukifatilia vitu anavyokukataza,
Au kukuonya lazima utagundua vitakuletea shida huko mbele.

25). Anajua vitu vingi kukuhusu wewe kuliko unavyodhani.

Uwezo wao wa kukutafiti ni mkubwa mno,
Anajua mambo mengi kukuhusu wewe ila hawezi kukwambia,
Na siku akikwambia utashangaa alijua lini na alijuaje,
Na hiyo siku ukiona ameamua kukwambia,
Ujue tayari ameshafanya maamuzi juu ya jambo hilo.

25) Hukumbukwa sana na wanawake waliao waacha.

Mwanamke alieachana na mwanaume anaejitambua,
Baada ya muda lazima mwanaume huyo atakumbukwa na huyo mwanamke,
Tena wakati mwengine mwanamke hushindwa kujizuia huko aliko,
Na kuamua hata kuitafuta namba yake na kumpigia,
Au huamua kumtumia sms akimwambia kuwa,
Anajuta kwanini aliamfanyia makosa yaliosababisha waachane.

Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka morogoro
Umeandika vitu vitati tu. Halafu umevirudiarudia kwa maneno tofautitofauti.
 
Daah Rest in peace my Mother!

Labda ungekuwepo ungenirepeat kunizaa nifanane na huyu wa mtoa mada hana hata baya?

Anyway wapi wanatoa kozi kama hii nikasome kudadake!
 
Ni wale wanaume wanaitwa Sigma Male..au Lone Wolf. Na wanaume wa Nyota ya mApAcHa pia ..Mkuu Umeipatia 💯
 
Na hawapendi kusifiwa sifiwa..kupondwa kwao ni kitu cha Kawaida na wala hakiwavunji moyo..
Mfano ni huu Uzi unavyopopolewa lakini hatojaliwa...
 
Ba mtu anasifa karibu zote,mtoa mada utasema ulikua unamuelezea yeye,shida hiyo no.24 jmn Kuna mda imachosha kuelekezwa weee
 
Hizo sifa zote ni za kwangu. A real man plays on the offense, not defense. He doesn’t provoke others, but when provoked, the response is powerful.
 
Hilo Ni kile kizazi cha Baba zetu ambacho hakimshtaki baba akikosea wala kumkataa baba akiwa na sif mbovu kwao baba ni baba.

Na wanapokosea huanguka sakafuni mzee akiwa amekaa kwenye kiti kunyesha mamalaka inaheshimiwa na taratibu zinafuatwa.

ila kizazi hiki cha Mazafaka vijana wakiume wamekuwa wambea, wachonganishi na wanafiki mno.
Zimwagwe PM zao hapa, hutaamini.
Natamani kumtag mtu ila basi 🫢
 
Back
Top Bottom