..hivi mnazungumzia mke wa aina gani?labda a semi-illiterate house wife, ambaye ameolewa kujikomboa na maisha magumu, au mdoli wa Elon Musk😀Yan hapo ni kwamba, mwanamke a behave atakavyo behave ila mwamba habadilik ananyoosha rula. So hawez asepe au lah atulie,ndivyo nilivyoelewa
Literacy/illiteracy tena imetokea wapi mkuu?kwan wenginwanaolewa kwaajili ya nini?..hivi mnazungumzia mke wa aina gani?labda a semi-illiterate house wife, ambaye ameolewa kujikomboa na maisha magumu, au mdoli wa Elon Musk😀
Mi spendi mke ambaye ni unresonably submissive,Tayari ushavunja sheria, mtoa mada anasema mwanaume habembelezi mwanamke awe naye..!! 😹😹
..atakaye kubali kubandikiwa kwenye ubongo wake, hizo principles 25 za kuziishi katika ndoaLiteracy/illiteracy tena imetokea wapi mkuu?kwan wenginwanaolewa kwaajili ya nini?
Kuna tofaut ya principle na character. Hizo ni tabia mkuu sio kanuni wala sheria. Kaeleza tabia..atakaye kubali kubandikiwa kwenye ubongo wake, hizo principles 25 za kuziishi katika ndoa
Ameorodhesha principles, na moja wapo katika hizo ikibainika anasepeshwa, kwenda kwao, hizo ni ni zaidi ya kanuni ila ni sheria na makatazo (DONTs)Kuna tofaut ya principle na character. Hizo ni tabia mkuu sio kanuni wala sheria. Kaeleza tabia
Mbona uzi haujielezi hivyo? Kasema sifa!.Ameorodhesha principles, na moja wapo katika hizo ikibainika anasepeshwa, kwenda kwao, hizo ni ni zaidi ya kanuni ila ni sheria na makatazo (DONTs)
..semi-illiterate ndyo mnaowazungumziaLiteracy/illiteracy tena imetokea wapi mkuu?kwan wenginwanaolewa kwaajili ya nini?
hizo sifa/matendo kwenye maisha ya ndoa zinakuwa ni Kanuni za kuishiMbona uzi haujielezi hivyo? Kasema sifa!.
..umestaarabika kutokana na uzoefu wa maisha na mahusianoDah zama zile bado nikiwa kijana mbichi kabisa nilikiwa nimefit kwenye hizi sifa ila dunia imenibadilisha mtoto wa watu
Ninazo zote nabakiza moja ya kulipa madeni 😀 hapo huwa ni utata kwa kweliKuna watu wenye sifa zote hizo ?? [emoji15]
Huwa huwasamehi ma-EX, mnakuwa maadui? anaweza akawa alifanya makosa kwa bahati mbaya, na anajutiaEhehehehe..sasa mkuu ndio tuseme unatupa moyo au?
Maana ukini gauge character yangu kwa factor zako hapo juu nina A+.
Kasoro point ya mwisho hapo namba 25, sina uhakika kama mwanamke huwa anamkumbuka mwanaume ambae kaamua kumuacha akiwa na akil zake timamu kabisaa. Hili ndio sijawah kulikubali, kila mtu anaponiambiaga "ila atajutia sana, na atakukumbuka sana yule" huwa najiuliza ,anikumbuke for what?? Maana hajalazimishwa mtu kukuacha, maana yake anajua anachokifanya.😅😅
Anyways..
Hawezi kuwa mtu mmoja huyoKama ulikua hujui MWANAUME ANAEJITAMBUA anatakiwa kuwa na sifa zipi wacha nikufahamishe;-
Wanaume tupo wengi sana hapa duniani,
Lakini wanaume wanaojitambua niwachache sana,
Sasa utajuaje mwanaume fulani anajitambua,
Au utajuaje wewe mwanaume mwenzangu unatambua,
1). Hazoeleki kiurahisi.
Moja ya sifa za wanaume ANAEJITAMBUA,
Huwa ni kutozoeleka kiurahisi na watu mbalimbali,
Hadi kumzoea mtu wa aina hii ni lazima uwe na sababu maalumu.
2). Wana roho nzuri ila wana maamuzi magumu sana.
Siku zote watu wa aina hii huwa na roho nzuri sana,
Huwa na huruma lakini wapo vizuri kufanya maamuzi mazito pale inapobidi,
Na akifanya maamuzi huwa haangalii watu wengine watasemaje au kumchukulia vipi,
Yaani akiamua kitu kaamua habadilishi full stop.
3). Haishi maisha ya kuigiza.
Siku zote mwanaume anaejitambua huwa haigizi maisha,
Huishi maisha yake halisi, haigizi maisha.
4). Anajua vitu vingi.
Wanaume wa aina hii huwa na uelewa wa vitu vingi sana,
Ni ngumu kumuuliza kitu fulani akawa hakijui kabisa.
5). Anasimamia mipango yake bila kuyumbishwa.
Kama nilivyosema kwenye hapo juu kwenye pointi namba mbili kuwa,
Akishaamua kufanya kitu huwa hayumbishwi tena,
Haijalishi anaambiwa na nani nakwasababu zipi,
Kama anahisi ni muhimu kwake kukitekeleza basi atafanya kwa vyovyote vile.
6). Haoni shida kuanza upya.
Ni watu wepesi sana kuamua kuanza upya,
Kama ni mahusiano yakilegalega ni rahisi tu kuachana nayo na kuanza upya,
Kwenye chochote kile kama hakiende sawa huamua kuanza upya.
7). Jasiri sana.
Mwanaume anaejitbua huwa hawaogopi kitu,
Mala nyingi huwa ni jasiri kwenye kila kitu,
Na huwa wanajiamini sana kwenye kila kitu.
8). Hawapendi mikopo.
Mwanaume anaejitambua hapendi kukopakopa,
Yani ukiona amekopa ujue amekopa kwa jambo la msingi sana,
Na hilo deni atafanya juu chini alilipe kwa wakati,
Kwasababu hata kama anaemdai hamkumbushii deni lake,
Lakini yeye hajihisi huru mpaka deni alipe,
Yani kitendo cha kudaiwa tu kwake automatically hujisikia kero.
9). Hana cha kuongea na x wake.
Akiachana mwanamke huwa hamrudii tena,
Na kamwe hana tena muda wa kumtafuta,
Au kumpigia simu labda kama amezaa nae,
Na ikiwa kazaa nae akipiga simu hupiga kwasababu ya mtoto tu,
Yani akipiga simu huenda moja kwa moja kwenye pointi ya mtoto,
Hana muda kabisa wa kujua mambo mengine.
10). Hawezi kuwa chawa.
Mwanaume anaejitambua huwezi kumkuta anajipendekeza pendekeza kwa watu,
Na kuwa chawa ili apate pesa au awe maarufu.
11). Huwa hana cha kujadili na mwanamke msaliti.
Mwanaume anaejitambua ukimsaliti tu na akajua lazima akuache,
Yani hana muda wa kujadiliana kuhusu usaliti,
Ni lazima hayo mahusiano yake atayavunja.
12). Hababaishwi na muonekano wa mwanamke au ufundi wake kitandani.
Haijalishi wewe ni mrembo kwa kiasi gani,
Haijalishi wewe ni fundi kitandani kwa kiasi gani,
Yeye ni mtu ambaye hababaishwi na vitu hivyo,
Kwa kifupi huwezi kumuendesha kwa uzuri wako.
13). Haoni shida kuondoka.
Iwe ni kazini wakimzingua ataacha hiyo kazi,
Tena hasa kama kazi yenyewe sio ya serikali ndio kabisaa,
Iwe kwenye mahusiano ukimzingua tu ataondoka,
Kwa kifupi anapenda vitu vilivyonyooka hataki longo longo.
14). Hapendi mwanamke mwenye drama na mapicha picha mengi.
Watu hawa huhitaji wanawake wanaojitambua na wasio na mambo mengi,
Yani hawataki mapicha picha kwenye mahusiano,
Aligundua tu kuwa huyu mwanamke hamuelewi,
Yani haraka sana huamua kumpiga chini,
Tena mala nyingi huachana na mwanamke wake bila ugomvi,
Yani wakati mwengine hata mwanamke haamini kama kaachwa,
Lakini jamaa ndio kashaamua hivyo na kamaliza.
15). Mwanamke ukikosea atakuwajibisha.
Hawafumbii macho mambo ya kijinga jinga,
Ukikosea atakuchana live kabisa bila kupepesa macho.
16). Wanajiamini sana.
Mwanaume anaejitambua huwa anajiamini sawa,
Sababu ya kujiamini ni kwakuwa wanajua vitu vingi,
Yani wanajua kipi sahihi na kipi sio sahihi.
17). Hawaoni shida kuwa wenyewe.
Mwanaume anaejitambua uwezo wake wa kuishi wenyewe bila kuhisi upweke ni mkubwa sana.
18). Hapendi uonevu.
Mwanaume anaejitambua huweza kumsaidia mtu yeyote,
Hata mtu asiyemjua pale tu anapohisi mtu huyo anaonewa,
Jamaa anaweza kuingilia kati na kumtetea mtu anaeonewa.
19). Kwenye mahusiano sio watoaji sana ila atahakikisha anakupa mahitaji yako ya msingi.
Mwanaume anaejitambua huwa hapendi kutoa toa hela bila mpangilio,
Na hii ni kutokana na mipango yake katika maisha,
Mwanaume anaejitambua huwa na mipango mingi ya maendeleo kichwani mwake,
Siku zote atajitahidi kukupa mahitaji yako muhimu,
Lakini sijui mtaani kuna harusi akupe pesa ya sare hilo sahau.
20). Huwa hawapo romantic.
Hawa ni wanaume ambao wanalalamikiwa sana kwenye mahusiano,
Kwasababu hawapo romantic ila ni wanaume bora sana hasa kwenye kulea familia.
21). Wana huruma sana.
Muda pekee utakaojua wana huruma ni pale utakapokuwa na shida,
Kama ni mwanamke wake ni pale utakapokuwa unaumwa au unapitia jambo lolote gumu,
Hawa ni wanaume ambao wana uwezo wa kupika, kufua, kuogesha watoto,
Pia kulisha na kufanya kila kitu kuhakikisha wanakusaidia.
22). Sio waongeaji sana.
Moja ya sifa yao kuu nyengine ni ukimya,
Muda mwingi wanahitaji kuwa kimya wakifanya mambo yao,
Ukiwa mwanamke unapenda kuongeaji sana,
Yeye muda mwingi atautumia kutabasamu unavyoongea,
Na akiamua kukujibu basi hukujibu kwa kifupi,
Na mara nyingi hunyamaza bila kujibu kama hiko ulichoongea atakiona hakina maana yoyote.
23). Hana marafiki wengi.
Mwanaume anaejitambua huwa hawana marafiki wengi,
Yani huwa wanachagua sana watu wakuwa nao kwenye urafiki.
24). Hupenda kukataza na kuonya mara nyingi.
Kwa mwanamke ukiwa na mwanaume wa namna hii,
Jiandae kukatazwa na kupata maonyo kwa wingi,
Lakini jambo zuri kuhusu hilo huwa wanakukataza,
Au kukuonya kwa jambo la msingi ambalo linaweza kukuletea shida,
Mara nyingi ukifatilia vitu anavyokukataza,
Au kukuonya lazima utagundua vitakuletea shida huko mbele.
25). Anajua vitu vingi kukuhusu wewe kuliko unavyodhani.
Uwezo wao wa kukutafiti ni mkubwa mno,
Anajua mambo mengi kukuhusu wewe ila hawezi kukwambia,
Na siku akikwambia utashangaa alijua lini na alijuaje,
Na hiyo siku ukiona ameamua kukwambia,
Ujue tayari ameshafanya maamuzi juu ya jambo hilo.
25) Hukumbukwa sana na wanawake waliao waacha.
Mwanamke alieachana na mwanaume anaejitambua,
Baada ya muda lazima mwanaume huyo atakumbukwa na huyo mwanamke,
Tena wakati mwengine mwanamke hushindwa kujizuia huko aliko,
Na kuamua hata kuitafuta namba yake na kumpigia,
Au huamua kumtumia sms akimwambia kuwa,
Anajuta kwanini aliamfanyia makosa yaliosababisha waachane.
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka morogoro
Mkuu, mpka watu mfikie kuachana, hilo kosa lazima liwe so serious sio yale ya bahati mbaya. Halaf kutomsamehe mtu haimaanishi mnakua maadui, hapana.Huwa huwasamehi ma-EX, mnakuwa maadui? anaweza akawa alifanya makosa kwa bahati mbaya, na anajutia
17.Hawaoni shida kuwa wenyewe....Kama ulikua hujui MWANAUME ANAEJITAMBUA anatakiwa kuwa na sifa zipi wacha nikufahamishe;-

Hakikaaa!Na sio walevi kupindukia
Awesome!Kuna tofaut ya principle na character. Hizo ni tabia mkuu sio kanuni wala sheria. Kaeleza tabia
Duuh hahahaumesahau apo .
mwanaume anaejitambua hana boxer zaidi ya mbili.