Zifuatazo ni sifa za mwanaume anayejitambua kama ifuatavyo

Umeandika vitu vitati tu. Halafu umevirudiarudia kwa maneno tofautitofauti.
 
Daah Rest in peace my Mother!

Labda ungekuwepo ungenirepeat kunizaa nifanane na huyu wa mtoa mada hana hata baya?

Anyway wapi wanatoa kozi kama hii nikasome kudadake!
 
Ni wale wanaume wanaitwa Sigma Male..au Lone Wolf. Na wanaume wa Nyota ya mApAcHa pia ..Mkuu Umeipatia 💯
 
Na hawapendi kusifiwa sifiwa..kupondwa kwao ni kitu cha Kawaida na wala hakiwavunji moyo..
Mfano ni huu Uzi unavyopopolewa lakini hatojaliwa...
 
Ba mtu anasifa karibu zote,mtoa mada utasema ulikua unamuelezea yeye,shida hiyo no.24 jmn Kuna mda imachosha kuelekezwa weee
 
Hizo sifa zote ni za kwangu. A real man plays on the offense, not defense. He doesn’t provoke others, but when provoked, the response is powerful.
 
Sifa zote hizo awe nazo mwanamme mmoja?
 
Natamani kumtag mtu ila basi 🫢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…