Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2. SAMSUNG -Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL - Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4: REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO -Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5. GOOGLE PIXEL - Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
Mkuu, simu za Google Pixel toleo jipya inaitwaje? Na kwa sasa zinatembea kwa bei gani?

Ova
 
Back
Top Bottom