Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Kabisa, mwisho wa siku hamna tuzo kwenye kujitesa [emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa jeeee cha kufia niniiii me kitu nakipenda na ninaweza kununua acha nijipe furaha tu tutajua mbele kwa mbele
 
[emoji1787][emoji1787] Sasa jeeee uwezo unao fanya kile kinakupa furaha Amani leo upo kesho haupo
Hata kama na kesho upo, fanya yanayokupa raha..!! Hawa wa ana magari mengi lakini chooni ataenda kwa mguu tupa kule..!!
 
Una simu ya laki 5 halafu unatumia kuchat whatsapp, kuangalia movie na kusoma umbea kwenye social media.
Hapo na wewe unajiona una akili
Umenigusa mkuu, nina simu kali bei ya kiwanja kiasi nikiitoa tu huku kwa kina sie kanyampasira kijiji kinashangaa ila matumizi ndo hayo hayo sina zaidi hadi roho inaniuma kumbe kitu kinakuwa cha kawaida sana ukiwa nacho
 
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2. SAMSUNG -Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL - Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4: REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO -Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5. GOOGLE PIXEL - Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
Simu ya mezani umetusahau
 
Hamna hata moja ambalo ni relevant, from iphone samsung na google pixel.
Mwisho wa siku kila mtu anatumia simu tofauti, wapo wanaotumia for business, security, games, kuuzia sura. So utachagua. Ila hii generelization it is so so wrong man
 
Back
Top Bottom