Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Pesa...pesa....pesa...tafuta pesa uondokane na hizo mentality za kishamba na kichawi.Ni kweli.
Ila unanunua simu kwa mahitaji gani?
Unanunua simu ya milion 3 kisa perfomarnce ya kuangalia video tiktok na kusoma umbea kwenye mitandao ya kijamii halafu ndani kwako hauna laptop na una tv nchi 24. Sabufa yenyewe una aborder ya 70k.