Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2.SAMSUNG-Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL-Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4:REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO-Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5.GOOGLE PIXEL-Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
Una simu ya laki 5 halafu unatumia kuchat whatsapp, kuangalia movie na kusoma umbea kwenye social media.
Hapo na wewe unajiona una akili
 
Wala siyo ubahili,ninamfahamu jamaa anamiliki yard ya magari anatumia Tecno wala hana habari.

Huko kushindana kununua simu za gharama kubwa wakati mwengine mtu anaishia kutumia apps zile zile anazotumia mwenye Tecno huwa ni dalili za ugonjwa.
anamiliki yard ya magari then hapo hapo anatumia TECNO kupiga picha hayo magari kweny kuyatangaza mtandaoni???? si kwelii
 
3. TECNO, INFINIX na ITEL-Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI
Hapa uongo,, wanawake wengi wa kundi hili wamehongwa, tena anajiweka kwa jamaa anaeona anaweza kumnunulia simu.
 
Una simu ya laki 5 halafu unatumia kuchat whatsapp, kuangalia movie na kusoma umbea kwenye social media.
Hapo na wewe unajiona una akili
usifananishe performance ya simu ya laki tano 500k na simu ya milion 3. ni tofauti Sana kweny utendaji wake
 
Hapa uongo,, wanawake wengi wa kundi hili wamehongwa, tena anajiweka kwa jamaa anaeona anaweza kumnunulia simu.
Kumkuta mwanamke kahongwa INFINIX or TECNO ni nadra Sana. may be Samsung or iphone
 
usifananishe performance ya simu ya laki tano 500k na simu ya milion 3. ni tofauti Sana kweny utendaji wake
Ni kweli.
Ila unanunua simu kwa mahitaji gani?
Unanunua simu ya milion 3 kisa perfomarnce ya kuangalia video tiktok na kusoma umbea kwenye mitandao ya kijamii halafu ndani kwako hauna laptop na una tv nchi 24. Sabufa yenyewe una aborder ya 70k.
 
Back
Top Bottom