Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2.SAMSUNG-Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL-Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4:REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO-Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5.GOOGLE PIXEL-Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
Mbn sisi tunao tumia Huawei hujatuweka popote
 
kwa simu ni wastage of time kusubiri week spare ifike, simu sio gari
Ni maoni yako,lakini unapaswa ujue pia kwamba spare bongo siyo rahisi kiasi kwamba utashindwa kusubiri 1 week kuagiza mtandaoni.

Juzi april kuna jamaa yangu ana Samsung S10+ kioo kilijaa wino akaenda kuuliza kioo anaambiwa 400K nikamshauri tuagize mpaka kinafika mkononi 165K so unaweza ukaona jinsi alivyo-save kitu,then bongo vingi kanjanja.
 
Nani kaibiwa huko 🤣🤣

Hiyo brand ni addictive hamjui tu
Nilijaribugi kuhama nikashindwa nikarudi 😂😂😂
Angalia infinix na tecno zinatoka siku hizi. Wanajaribu kukopi macho ya camera ila wapiiiii
Tulieni matapeli nyie 😂😂😂
 
infinix hot 11 play all the way..

naweka bando la 10,000 mwezi mzima
View attachment 3009818
nawasha data naingia JF huku nasikiliza muziki saafi

bado chaji inakaa siku 3.

Huu ukweli ni ubahili wa GPA 5.0
Wala siyo ubahili,ninamfahamu jamaa anamiliki yard ya magari anatumia Tecno wala hana habari.

Huko kushindana kununua simu za gharama kubwa wakati mwengine mtu anaishia kutumia apps zile zile anazotumia mwenye Tecno huwa ni dalili za ugonjwa.
 
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2.SAMSUNG-Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL-Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4:REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO-Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5.GOOGLE PIXEL-Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
Umefanya ukukupori kabisa kwa Infinix kabisa ila kwa baili hapo nakuunga mkono vingine hamna napita hivi
 
Nina Samsung haina msaidizi. Nimeitumia muda sasa.

Tunakaa tu na hakuna lolote. No one cares, hakuna hichi kitu. Kama kipo basi kinayemkuta kazungukwa na watu wa kipekee sana.
Samsung S series na samsung A series haziwezi kaa meza moja. A series ni upgrade ya kina Tecno 😃
 
Boss, Yaani hata ukitumia nini, no one cares. Narudia, no one cares unless jamii yako ni ya kipekee sana kwamba mnafatiliana hapo matakoni kuwa huyu ana nini au wewe ni famous kwa kiwango cha kulipwa ili ufanye tangazo la brand. Zaidi ya hapo No one cares, ni wewe tu unajiambia kwenye ubongo wako kuwa watu wanajali ila uhalisia ni no one cares unatumia simu gani.
 
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2.SAMSUNG-Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL-Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4:REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO-Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5.GOOGLE PIXEL-Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
Acha kututusi mkuu,kwahiyo watumia OPPO sie tunapenda sifa au siyo!?
 
Boss, Yaani hata ukitumia nini, no one cares. Narudia, no one cares unless jamii yako ni ya kipekee sana kwamba mnafatiliana hapo matakoni kuwa huyu ana nini au wewe ni famous kwa kiwango cha kulipwa ili ufanye tangazo la brand. Zaidi ya hapo No one cares, ni wewe tu unajiambia kwenye ubongo wako kuwa watu wanajali ila uhalisia ni no one cares unatumia simu gani.
Boss umesoma uzi? Hiyo no one care kaanzishe uzi mwingine. Hapa mleta mada ka classify simu. Sasa wewe naona una catch feelings...
Unapenda matako eeh?
 
Uzi umeeleweka na hoja yangu ni no one cares, simu haikutambulishi kuwa wewe ni mtu wa aina gani, Matako hata kama huyapendi unayo umeyabeba.
 
Wewe ndio unajali mkuu ndio maana unakomaa hapa.....
 
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2.SAMSUNG-Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL-Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4:REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO-Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5.GOOGLE PIXEL-Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
mua mchache mambo mengi......samsung ni simu zingine ni taka taka📌🔨
 
Back
Top Bottom