Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Nani kaibiwa huko [emoji1787][emoji1787]

Hiyo brand ni addictive hamjui tu
Nilijaribugi kuhama nikashindwa nikarudi [emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia infinix na tecno zinatoka siku hizi. Wanajaribu kukopi macho ya camera ila wapiiiii
android almost zote now zina camera kubwa nyuma. ni design Tu ile
 
Hamna kitu, hakuna anayejali ni ulevi wa kipumbavu tu wa kifikra kuishi kwa ajili ya wengine kwa kiwango hicho.

Ni ugonjwa na Bipolar ya mtu binafsi. Ni tatizo la kisaikolojia kufikiri kuna watu wanajali unatumia simu gani. Hakuna anayejali na anapotokea hana maana yoyote ana 0 impact.

Jambo pekee ambalo watu watajali ni ukitembea uchi au ukavaa vitu vya ajabu ajabu, mengine yote ni mtu binafsi anajiambia mambo yasiyokuwepo kwenye ubongo wake.
 
Back
Top Bottom