whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Infinix kwa kweli hapana, bora smart kitochi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I disagreeKama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:Iphone kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI
2.Samsung kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA
3. Tecno, infinix na Itel: kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI
4:Redmi, Xiaomi, oppo na Vivo kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE
5.Google pixel:Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO
android version Yake ngapi. maana now tupo version ya 14. sizani kama umefika ukoinfinix hot 11 play all the way..
naweka bando la 10,000 mwezi mzima
View attachment 3009818
nawasha data naingia JF huku nasikiliza muziki saafi
bado chaji inakaa siku 3.
Huu ukweli ni ubahili wa GPA 5.0
Ndio nmeuona wanamuonea bure, sijapenda.Huoni huo mchata hapo kwa profile yake 🤣
Namba 1 na 2 ndio simu.Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:Iphone kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI
2.Samsung kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA
3. Tecno, infinix na Itel: kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI
4:Redmi, Xiaomi, oppo na Vivo kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE
5.Google pixel:Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO
iPhone users huna haja ya kupiga kelele.Umeandika ujinga tu usio na fact
Nina Samsung haina msaidizi. Nimeitumia muda sasa.Yani ukiwa na Iphone inabidi uwe na simu ya backup incase umepata issue au ukiwa na samsumg s24 inabidi uwe msaidizi incase...
Tunakaa tu na hakuna lolote. No one cares, hakuna hichi kitu. Kama kipo basi kinayemkuta kazungukwa na watu wa kipekee sana.Halafu 1 na 2 kuna hizi simu latest huwezi group na matoleo mengine.
Mfano samsung s series hawezi kaa meza moja na samsung A series.
Dunia ya sasa siyo ya kuogopa kununua kitu kwa kuogopa upatikanaji wa vifaa vyake,ukizama AliExpress via Caniao wiki tu mzigo wako upo mkononi.Sony hazisemwi lakini wanatumia wachache na accessories zake kupata bongo mtihani
Kuna simu ukizitumia unakuwa wa kipekee sana,natumia Redmi Chinese version kila anayeona features zake lazima aulize ni simu gani.Kwa hiyo Mimi ni mbabe hahaha
Mungu anakuona
Itakuwa ni wale wa kusindikizana kwenda kununua simuAu umeangukia kwenye namba 1 nini mkuu🤣🤣🤣
Unafaham Mkuu wako wa nchi anatumia simu ya aina gani?Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI
2.SAMSUNG-Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA
3. TECNO, INFINIX na ITEL-Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI
4:REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO-Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE
5.GOOGLE PIXEL-Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO
Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.