Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Khaa! Ugonjwa tena?Wala siyo ubahili,ninamfahamu jamaa anamiliki yard ya magari anatumia Tecno wala hana habari.
Huko kushindana kununua simu za gharama kubwa wakati mwengine mtu anaishia kutumia apps zile zile anazotumia mwenye Tecno huwa ni dalili za ugonjwa.
Hela zenyewe wanazo sasa?? 😂😂😂Tushazoea vichambo vyao vya wivu [emoji1787][emoji1787] watafute hela wanunue simu nzuri
Asante. Ndiyo unayotumia wewe?kachukue pixel 8 pro latest 24 iyo inauzwa m2.8
Hela zenyewe wanazo sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi elewa kama huna D mbili, ila huo utoto na ujinga ujinga achana nao unajidharirisha kila mtu hutumia simu aipendayo ama iliyo ndani ya uwezo wake.jina lenyewe weed tangu lini ukawa na akili[emoji3525]
Najua nafs inakusunta kuleta hoja za kipumbavu mbele ya watu wazima afu si ajabu ulijiona mjanja.D mbili za Bibi yako .We bogasi kweli
Na ndiyo maana simu pekee iliyopata sifa kwenye thread hii ni Google Pixel.S 24
Acha utoto.Mbona kama umetumwa[emoji23] au unatumia infinix