Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

I disagree
 
infinix hot 11 play all the way..

naweka bando la 10,000 mwezi mzima
View attachment 3009818
nawasha data naingia JF huku nasikiliza muziki saafi

bado chaji inakaa siku 3.

Huu ukweli ni ubahili wa GPA 5.0
android version Yake ngapi. maana now tupo version ya 14. sizani kama umefika uko
 
Namba 1 na 2 ndio simu.
Wengine wote ni wasaidizi wa simu...

Yani ukiwa na Iphone inabidi uwe na simu ya backup incase umepata issue au ukiwa na samsumg s24 inabidi uwe msaidizi incase...

Halafu 1 na 2 kuna hizi simu latest huwezi group na matoleo mengine.
Mfano samsung s series hawezi kaa meza moja na samsung A series.

Mtu anatumia Iphone Xs au X hawezi kaa meza moja na Iphone 12-15....

Anyway nilitaka kusema natumia smart kitochi...
 
Yani ukiwa na Iphone inabidi uwe na simu ya backup incase umepata issue au ukiwa na samsumg s24 inabidi uwe msaidizi incase...
Nina Samsung haina msaidizi. Nimeitumia muda sasa.
Halafu 1 na 2 kuna hizi simu latest huwezi group na matoleo mengine.
Mfano samsung s series hawezi kaa meza moja na samsung A series.
Tunakaa tu na hakuna lolote. No one cares, hakuna hichi kitu. Kama kipo basi kinayemkuta kazungukwa na watu wa kipekee sana.
 
Sony hazisemwi lakini wanatumia wachache na accessories zake kupata bongo mtihani
Dunia ya sasa siyo ya kuogopa kununua kitu kwa kuogopa upatikanaji wa vifaa vyake,ukizama AliExpress via Caniao wiki tu mzigo wako upo mkononi.
 
Dunia ya sasa siyo ya kuogopa kununua kitu kwa kuogopa upatikanaji wa vifaa vyake,ukizama AliExpress via Caniao wiki tu mzigo wako upo mkononi.
kwa simu ni wastage of time kusubiri week spare ifike, simu sio gari
 
Unafaham Mkuu wako wa nchi anatumia simu ya aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…