Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Una simu ya laki 5 halafu unatumia kuchat whatsapp, kuangalia movie na kusoma umbea kwenye social media.
Hapo na wewe unajiona una akili
 
Wala siyo ubahili,ninamfahamu jamaa anamiliki yard ya magari anatumia Tecno wala hana habari.

Huko kushindana kununua simu za gharama kubwa wakati mwengine mtu anaishia kutumia apps zile zile anazotumia mwenye Tecno huwa ni dalili za ugonjwa.
anamiliki yard ya magari then hapo hapo anatumia TECNO kupiga picha hayo magari kweny kuyatangaza mtandaoni???? si kwelii
 
3. TECNO, INFINIX na ITEL-Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI
Hapa uongo,, wanawake wengi wa kundi hili wamehongwa, tena anajiweka kwa jamaa anaeona anaweza kumnunulia simu.
 
Una simu ya laki 5 halafu unatumia kuchat whatsapp, kuangalia movie na kusoma umbea kwenye social media.
Hapo na wewe unajiona una akili
usifananishe performance ya simu ya laki tano 500k na simu ya milion 3. ni tofauti Sana kweny utendaji wake
 
Hapa uongo,, wanawake wengi wa kundi hili wamehongwa, tena anajiweka kwa jamaa anaeona anaweza kumnunulia simu.
Kumkuta mwanamke kahongwa INFINIX or TECNO ni nadra Sana. may be Samsung or iphone
 
usifananishe performance ya simu ya laki tano 500k na simu ya milion 3. ni tofauti Sana kweny utendaji wake
Ni kweli.
Ila unanunua simu kwa mahitaji gani?
Unanunua simu ya milion 3 kisa perfomarnce ya kuangalia video tiktok na kusoma umbea kwenye mitandao ya kijamii halafu ndani kwako hauna laptop na una tv nchi 24. Sabufa yenyewe una aborder ya 70k.
 
[emoji1787][emoji1787] yupo na iPhone 15 pro max anajizima data
Hiyo ndio inauzwa milioni ngapi? Yaani milioni kabisaa ninunue simu🙆🙆🙆
Nitalazwa walah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…