Pesa...pesa....pesa...tafuta pesa uondokane na hizo mentality za kishamba na kichawi.Ni kweli.
Ila unanunua simu kwa mahitaji gani?
Unanunua simu ya milion 3 kisa perfomarnce ya kuangalia video tiktok na kusoma umbea kwenye mitandao ya kijamii halafu ndani kwako hauna laptop na una tv nchi 24. Sabufa yenyewe una aborder ya 70k.
Ooooh Lord🙆🙆🙆🙆milion 3 mpka 4
Ni sawa ila huo ujinga wa kununua simu ya milioni 3 halafu unachatia tiktok. HapanaPesa...pesa....pesa...tafuta pesa uondokane na hizo mentality za kishamba na kichawi.
Tumefikiwa 😂😂😂mmejua kutusimangaREDMI, XIAOM, OPPO na VIVO-Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE
Watu wa aifoni za kikuu[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ili niwe tapeli!!
Ndiyo manake[emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo ndio inauzwa milioni ngapi? Yaani milioni kabisaa ninunue simu[emoji134][emoji134][emoji134]
Nitalazwa walah!
Ngoja tujongeee pole polekaribu kweny ulimwengu wa S24 ultra
Narudia tena tafuta pesa tafuta pesa tafuta pesa.... una mentality za kimasikini na kishamba sana. Tafuta pesa uone utamu wa kutumia high-end phones!Ni sawa ila huo ujinga wa kununua simu ya milioni 3 halafu unachatia tiktok. Hapana
Kuna jamaa alikuwa kama wewe, alipopata pesa. Akawa anakodisha tax mbili kwenda bar.
Moja anapanda yeye na tax nyingine anaweka koti lake. Watu walipomshauri aliwaambia "tafuta hela kaka, achana na mentality za kishamba na kichawi"
Shida hawajui utamu wa kutumia top brand phones.... watafute hela waache uchawi.kwamba kutumia simu Kali, lazima uwe na TV inchi 70 ndani[emoji23]
Siyo kazi yangu kukuaminisha,so ni kusema wote wanaofanya biashara mitandaoni na wakafanikiwa kushawishi wateja na wenyewe wanatumia simu za 1+mill?anamiliki yard ya magari then hapo hapo anatumia TECNO kupiga picha hayo magari kweny kuyatangaza mtandaoni???? si kwelii
Kwenye biashara, especially mtandaoni tumia simu nzuri/camera nzuri iweze kuvutia mwonekano WA product unazouzaSiyo kazi yangu kukuaminisha,so ni kusema wote wanaofanya biashara mitandaoni na wakafanikiwa kushawishi wateja na wenyewe wanatumia simu za 1+mill?
Labda kama sijakuelewa
🤝🏾Kwenye biashara, especially mtandaoni tumia simu nzuri/camera nzuri iweze kuvutia mwonekano WA product unazouza