Zifuatazo ni Simu zinazoweza Kukutambulisha Wewe ni mtu wa aina gani

Sio kwamba hatuna hela za Iphone ila mimi ni wa sumsumg mpk mwisho wa dahari... 😊 😊 😊
 
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2. SAMSUNG -Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL - Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4: REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO -Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5. GOOGLE PIXEL - Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
No. 1 & 2 umepatia!
 
Hivi vivo Y93 Gb 128 ina kasoro zipi?
IMG-20240705-WA0079.jpg
 
Samsung natumia naw ni mwaka wa 5 haijawahi kusumbua chochote wala kuchemka kama birika la kahawa
 
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako

1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa Mwanaume anaonekan TAPELI

2. SAMSUNG -Watu wenye hela. kwa Mwanamke anaonekan ANAJIELEWA, Mwanaume anaonekan ANAJIWEZA

3. TECNO, INFINIX na ITEL - Watu wasio jua Simu na Wanapenda Vya Bei rahisi. Pia ni wafata mkumbo. kwa Mwanamke Anaonekan AMETULIA Hana Mambo mengi, Kwa Mwanaume anaonekana BAHILI

4: REDMI, XIAOM, OPPO na VIVO -Watu wanaopenda sifa. kwa Mwanamke anaonekana MCHAPAKAZI, Mwanaume anaonekan MBABE

5. GOOGLE PIXEL - Watu wanaoojua simu. Kwa mwanamke Anaonekan Mvumilivu, kwa Mwanaume anaoneka mtu mwenye MSIMAMAMO

Mwisho
Bila kuhasahau Watumiaji Wa Tekno na infinix Wanaongoza kusindikizana Dukan kwenda Kununua simu zao pendwa, Hii Tabia kwao kama Sheria.
Chai
 
Simu haimdefine mtu wengi wetu starehe yetu ni simu ambayo itakupa kile unachokipenda tupo tayari hata tutoe more than M tupaate kitu kizuri lakini hatuishi maisha mazuri kiasi hicho siafiki kununua simu nzuri au mbaya sio kipimo cha maisha bora
 
Back
Top Bottom