all about
Member
- May 28, 2022
- 69
- 103
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu.
2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku.
3. Unapo ongea na mtu rafiki au mpenzi Onyesha nia ya dhati usiongee tu kwa kumfurahisha, kuwa mkweli.
4. Unapokuwa sehemu yeyote ile hasa ugenini kuwa mpole "just calm down" ila jitahidi kwa na confidence.
5. Chukulia mambo kwa wepesi, furahia wakati ulio nao.
6. Sehemu yeyote ile utakayoenda jaribu kujitawala kwa kuonesha ujasili ulionao acha woga na aibu za kishamba.
7. Usipendelee sana kujadili mada za kipuuzi kama mademu, mpira, wasanii nk. Jadili mada ngumu zenye mashiko.
8. Usipendelee kumkatiza mtu anapo kuelezea au kusimulia jambo we kuwa tu makini kum sikiliza bila kumkatisha katisha.
9. Sikuzote chukulia mambo kwa wepesi, epuka kufikiri kupita kiasi.
10. Acha ubishi na kukosoa kosoa mambo jitahidi kudhibiti hisia zako.
11. Sikuzote usitake mafanikio ya haraka believe in process watu watakueshimu kama walishuhudia njia ulizotumia kupa uo utajiri.