Zifuatazo ni Tabia 11 zitakazokupatia heshima kama utaishi nazo

1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu.

2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku.

3. Unapo ongea na mtu rafiki au mpenzi Onyesha nia ya dhati usiongee tu kwa kumfurahisha, kuwa mkweli.

4. Unapokuwa sehemu yeyote ile hasa ugenini kuwa mpole "just calm down" ila jitahidi kwa na confidence.

5. Chukulia mambo kwa wepesi, furahia wakati ulio nao.

6. Sehemu yeyote ile utakayoenda jaribu kujitawala kwa kuonesha ujasili ulionao acha woga na aibu za kishamba.

7. Usipendelee sana kujadili mada za kipuuzi kama mademu, mpira, wasanii nk. Jadili mada ngumu zenye mashiko.

8. Usipendelee kumkatiza mtu anapo kuelezea au kusimulia jambo we kuwa tu makini kum sikiliza bila kumkatisha katisha.

9. Sikuzote chukulia mambo kwa wepesi, epuka kufikiri kupita kiasi.

10. Acha ubishi na kukosoa kosoa mambo jitahidi kudhibiti hisia zako.

11. Sikuzote usitake mafanikio ya haraka believe in process watu watakueshimu kama walishuhudia njia ulizotumia kupa uo utajiri.

"Mpira" Ni jambo la kipuuzi? Na wewe umekosea rule na: 12, kuwa flexible kwa interest za watu.
 
Yote hayo ni kazi bure km huna sauti ya MAMLAKA (PESA) ni kazi bure
 
Ukiwa mpole sana napo tabu,kuna muha mmoja shamba boy katoka huko kwao michikichini hivi karibu, alikuwa akiwa na madem anapenda sifa, siku moja natoka zangu job nimebeba viazi vya chipsi kwenye ile mifuko laini transparent, nikamkuta dogo yupo kakaa na wake za wapangaji wenzangu ,alivyoona vile viazi akaanza shobo za kunitania oooh na we mwanaume mzima unakula chipsi?.., yule dogo hakuwahi niona nimekasirika ila siku hiyo alijuta kunishobokea, taratibu nilisogea pale walipokuwa wamekaa nikaanza kumpiga maneno ya karaha wale wanawake mwanzoni walikuwa wananishangaa coz hawakuwahi niona nikiwa kwenye mood ile, nilimpaka shombo sana yule dogo hadi wale madem ikafika hatua hawana mbavu ni mwendo wa kukenua meno tu,...tokea pale yule dogo mazoea na mm alikata tukikutana ni shikamoo bro imeisha.
Hahaah🤣 ukiwa mpole sana utatawaliwa na kunekana boya just be normal sio speed sana na sio slow sana
 
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu.

2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku.

3. Unapo ongea na mtu rafiki au mpenzi Onyesha nia ya dhati usiongee tu kwa kumfurahisha, kuwa mkweli.

4. Unapokuwa sehemu yeyote ile hasa ugenini kuwa mpole "just calm down" ila jitahidi kwa na confidence.

5. Chukulia mambo kwa wepesi, furahia wakati ulio nao.

6. Sehemu yeyote ile utakayoenda jaribu kujitawala kwa kuonesha ujasili ulionao acha woga na aibu za kishamba.

7. Usipendelee sana kujadili mada za kipuuzi kama mademu, mpira, wasanii nk. Jadili mada ngumu zenye mashiko.

8. Usipendelee kumkatiza mtu anapo kuelezea au kusimulia jambo we kuwa tu makini kum sikiliza bila kumkatisha katisha.

9. Sikuzote chukulia mambo kwa wepesi, epuka kufikiri kupita kiasi.

10. Acha ubishi na kukosoa kosoa mambo jitahidi kudhibiti hisia zako.

11. Sikuzote usitake mafanikio ya haraka believe in process watu watakueshimu kama walishuhudia njia ulizotumia kupa uo utajiri.
Kuna mambo kadhaa ambayo ni kama tabia mbaya sugu unaweza kuongezea ambayo watanzania wengi wanayo
1. Polite talking. Watanzania wengi tuna tabia ya kuongea bila ustaarabu, yaani kama tunatoa amri. Pia kwenye kukosoa, hatujui kutumia lugha nzuri. Unaweza kabisa kumkosoa mtu na asijue umemkosoa lakini akaelewa kile ulichomfundisha.
2. Kutumia viwakalishi vibaya.- Hii tabia imekomaa mizizi sana Tanzania. Kutumia maneno kama ''mzee'', ''Anti'', ''anko'', ''shangazi'', ''jombi', ''afisa'' imekuwa kama kawaida.
 
Naunga mkono👍🤝
 
Kuna membar nae anasema Tanzania wavivu Tunaongea slow slow Tunatembea slowslow.
 
Back
Top Bottom