Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Shikamoo makeleleHeshima pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo makeleleHeshima pesa
Wengine ni nature yao... Kuwa na huruma, ustaarabu na kujiheshimu/kuheshimu pamoja na kuheshimiana na wengine.Nimemuelewa vizuri Sana ..
Hizo zote zinazungumzia Ustaarabu na huruma huruma...ili uheshimiwe..
Nchi zilizoendelea hukuti vigenge vilivyojaa nguvu kazi wakijadili mpira badala ya tathmini za kina za kujikwamua kimaisha na kupigisha hatua maradufu maendeleo ya nchi.umenikwaza 🐒
hiyo no.7
mpira ni miongoni mwa mada za kipuuzi?🐒
awali ilikua ni kipindi cha lisaa1 tu, wadau wakapendekeza muda uongezwe kidogo, hivi sasa ni masaa3 tunajadiliana masuala ya mpira, na tunachombeza na tumichezo tudogotudogo, huu ni upuuzi kweli?🐒
Na ikija automatically ujue hakuna heshima hapo... Ni wanafiki tu! Wanakuigizia na kukunyenyekea kwa sababu una kitu/vitu fulaniMtu aishi kwa kadiri ya kiwango chake cha akili ..
Heshima haitafutwi , heshima inakuja automatically..
Mazoea hujenga tabiaNo it is habit
Hahaha kwahiyo hizo ulizishika tangu ujana wakoHizi zote nazijua nataka zingine.
Hata ufanye hayo yoote kwa 💯 kama hela huna wewe ni lofa tu! Cc: Mkapa CHADEMA1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu.
2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku.
3. Unapo ongea na mtu rafiki au mpenzi Onyesha nia ya dhati usiongee tu kwa kumfurahisha, kuwa mkweli.
4. Unapokuwa sehemu yeyote ile hasa ugenini kuwa mpole "just calm down" ila jitahidi kwa na confidence.
5. Chukulia mambo kwa wepesi, furahia wakati ulio nao.
6. Sehemu yeyote ile utakayoenda jaribu kujitawala kwa kuonesha ujasili ulionao acha woga na aibu za kishamba.
7. Usipendelee sana kujadili mada za kipuuzi kama mademu, mpira, wasanii nk. Jadili mada ngumu zenye mashiko.
8. Usipendelee kumkatiza mtu anapo kuelezea au kusimulia jambo we kuwa tu makini kum sikiliza bila kumkatisha katisha.
9. Sikuzote chukulia mambo kwa wepesi, epuka kufikiri kupita kiasi.
10. Acha ubishi na kukosoa kosoa mambo jitahidi kudhibiti hisia zako.
11. Sikuzote usitake mafanikio ya haraka believe in process watu watakueshimu kama walishuhudia njia ulizotumia kupa uo utajiri.
Ila wengi huwa wapigaji mnapanga maneno vzr sana kumbe matapeli tuHuyo ni mimi kabisa huwa naongea kwa upole sna na hekima ya ajabu mno😁
Majamaa wanajua kukupanga mpka unaingia kingi .Ila wengi huwa wapigaji mnapanga maneno vzr sana kumbe matapeli tu
Tena tatzo kubwa mno 😁😁 kwa hiyo umekataa kuwa nina hekima mkuu😁😁Hahah that's problem 😀
Kwanini nibjshe kwahoja?Sawa ila bisha kwa hoja
Kuongea kipaji chief,,,ogopa sana watu wanao anza na maneno In fact au Kwa uzoefu wangu kuwa nao makiniMajamaa wanajua kukupanga mpka unaingia kingi .