Zifuatazo ni Tabia 11 zitakazokupatia heshima kama utaishi nazo



"Mpira" Ni jambo la kipuuzi? Na wewe umekosea rule na: 12, kuwa flexible kwa interest za watu.
 
Yote hayo ni kazi bure km huna sauti ya MAMLAKA (PESA) ni kazi bure
 
Hahaah๐Ÿคฃ ukiwa mpole sana utatawaliwa na kunekana boya just be normal sio speed sana na sio slow sana
 
Kuna mambo kadhaa ambayo ni kama tabia mbaya sugu unaweza kuongezea ambayo watanzania wengi wanayo
1. Polite talking. Watanzania wengi tuna tabia ya kuongea bila ustaarabu, yaani kama tunatoa amri. Pia kwenye kukosoa, hatujui kutumia lugha nzuri. Unaweza kabisa kumkosoa mtu na asijue umemkosoa lakini akaelewa kile ulichomfundisha.
2. Kutumia viwakalishi vibaya.- Hii tabia imekomaa mizizi sana Tanzania. Kutumia maneno kama ''mzee'', ''Anti'', ''anko'', ''shangazi'', ''jombi', ''afisa'' imekuwa kama kawaida.
 
Naunga mkono๐Ÿ‘๐Ÿค
 
Kuna membar nae anasema Tanzania wavivu Tunaongea slow slow Tunatembea slowslow.
 
Hela kaka , haifuati huo utaratibu kikubwa iwepo na wajue ipo basi kila kitu kinaenda sawa sawia bila shida yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ