Zijue aina nne (4) za michepuko

hahhhh sina chepuko sam love baibe wangu mmoja tu ningeekuwa na chepuko ningekuwa jf muda huu na wikiend hii hapa napoteza mawazo eti

njia kuu kwako ndio mchepuko wa mwenzako. habari ndio hiyo
 
Nimeipenda hii
 
wewe Asprin njoo uku sikupita hapa kitambo uwiii njoo jiseme ume editije reply yangu uwiii TATIANA unaweza kujua asprin kafanyaje hapo uuwii naachika uku,usifanye nimtaje mkuu wa kaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…