Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Njia kuu traffic wengi.
Ndo maana kuna usalama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia kuu traffic wengi.
hahhhh sina chepuko sam love baibe wangu mmoja tu ningeekuwa na chepuko ningekuwa jf muda huu na wikiend hii hapa napoteza mawazo eti
Ambae kimsingi ni mchepuko wa mwanamke mwenzako uo...tehe tehe
njia kuu kwako ndio mchepuko wa mwenzako. habari ndio hiyo
Nimeipenda hiiati mwajua matawi ya michepuko?? Leo kwa masikio yangu wanaume wawili wanadiscuss ooh michepuko wa siku hizi ipo advanced kuna michepuko wa lami na mchepuko wa vumbi eeh nkauliza mchepuko wa lami upoje ati wa lami ni ule hauombi hela, upo njema unajua designer zote uwe nae usiwe nae maisha yake yanaendelea, eeh mchupuko wa vumbi ni upi ni ule ooh sina hela sijui simu imekufa charge ooh nipo saloon nadawai elfu thelathin aah hiyo ndo noma mana njia kuu lazma washtukie mana mchepuko vumbi full msg.
ha haa haaaa
haaaha samlove mimi ni njia kuu kwa baibe wangu Asprin much respect baby
I love you too baby.
waaaat asprin acha hizo wewe umefanya nini mbona sielewi usitake nimtaje uwiiiiiiiiiiiii nafwaaa
We nitaje tu, usijali.
Asprini nikiachika uta........