rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje.
Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali zao, bila hivo yangekuwa local tu huko yalipotoka na yasingefika huku.
Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina pombe yake. Tuzienzi na kuzikuza ili tuweze kuexport na kupata extra income.
1. Tanga - Mnazi
2. Warangi - Choya na udo
3. Wachaga - Mbege
4. Wapare - Denge
5. Wahehe - Ulanzi
6. Makabila yote - Gongo
----------------------------------
Baadhi ya Michango

Huko kwetu SONGEA local brews ni nying sana kama;
Kimpumu
Mbege
Ulanzi
Komoni
M-yakaya
Sawani
Wanzuki
Wale wakazi Wa kipande hiki thumbs up ongezeni nilichosahau hasa wakazi Wa Peramiho, Magagura, Mpitimbi, Namtumbo, Mbinga, Nyasa na Liganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapogoro - Tekawima
Kayoga- kigoma
Gwagwa - kagera
Ndimasi - kagera