Zijue aina za pombe za makabila ya Tanzania

Zijue aina za pombe za makabila ya Tanzania

Nyululu, Komoni, Macholo, Mbitu, Libitu Hizi ni product za mahindi
Mkangafu, Mdindifu, Mtogwa na maboso hizi ni product za ulanzi
 
Hizo pombe ukinywa, usipokunya basi mdomo utababuka na akili lazima zikuhame...



Cc: mahondaw
 
Hivi wasukuma na wanyamwezi tuna pombe gani?
 
Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje.

Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali zao, bila hivo yangekuwa local tu huko yalipotoka na yasingefika huku.

Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina pombe yake. Tuzienzi na kuzikuza ili tuweze kuexport na kupata extra income.

1. Tanga - Mnazi

2. Warangi - Choya na udo

3. Wachaga - Mbege

4. Wapare - Denge

5. Wahehe - Ulanzi

6. Makabila yote - Gongo
Ki kwetu gongo inaitwa Inguli / kanyanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom