Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanyihaKangara ni pombe ya kabila gani?
Kumbe mpenzi wangu Khantwe hajakoseaNasikia nyanda za juu kusini ndo tabia yao....Mtu anapiga mpaka ekari nzima mtoto kauchapa. Hahahaha!
Gongo ya wakurya bobNimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje.
Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali zao, bila hivo yangekuwa local tu huko yalipotoka na yasingefika huku.
Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina pombe yake. Tuzienzi na kuzikuza ili tuweze kuexport na kupata extra income.
1. Tanga - Mnazi
2. Warangi - Choya na udo
3. Wachaga - Mbege
4. Wapare - Denge
5. Wahehe - Ulanzi
6. Makabila yote - Gongo
Tatizo ya pombe zenu ni mpaka zioze
Huu Udo wa warangi nitaupata wapi hapa Arusha?Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje.
Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali zao, bila hivo yangekuwa local tu huko yalipotoka na yasingefika huku.
Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina pombe yake. Tuzienzi na kuzikuza ili tuweze kuexport na kupata extra income.
1. Tanga - Mnazi
2. Warangi - Choya na udo
3. Wachaga - Mbege
4. Wapare - Denge
5. Wahehe - Ulanzi
6. Makabila yote - Gongo
----------------------------------
Baadhi ya Michango