Zijue aina za pombe za makabila ya Tanzania

rr4

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
3,797
Reaction score
5,510
Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje.

Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali zao, bila hivo yangekuwa local tu huko yalipotoka na yasingefika huku.

Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina pombe yake. Tuzienzi na kuzikuza ili tuweze kuexport na kupata extra income.

1. Tanga - Mnazi

2. Warangi - Choya na udo

3. Wachaga - Mbege

4. Wapare - Denge

5. Wahehe - Ulanzi

6. Makabila yote - Gongo

----------------------------------
Baadhi ya Michango



Gongo na Wanzuki A.k.a Nyuki ndani ya sukuma Land[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app

Wapogoro - Tekawima

Kule kwetu Newala kuna ulaka, Gongo, tembo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app

Kayoga- kigoma
Gwagwa - kagera
Ndimasi - kagera
 
Idea nzuri wazia Bill Gates anarudi kwake kisha anakaribishwa Togwa au Pingu ile ukinywa lazima suruali uibane iwe kanyelamumo ili ukijin''yea MAVItuzi yabaki humo yasitoke yakatusumbua wengine.
 
Reactions: rr4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…