Zijue aina za pombe za makabila ya Tanzania

Ni pombe inatengenezwa kwa mtama
Serena yenyewe ni jina la mbegu/aina ya mtama. Hata ugogoni ipo

Pombe za makao makuu ya Nchi kwa kina Matonya (siyo Urangi)

Kangara
Choya(Hii inatengenezwa kwa Rozella tamu sana)
Mtama
..........
Gongo/Pyua/Cham(Hii nadhani ni Pombe ya Taifa kila sehem ipo)
 
kawoli,
Sio gongo hiyo.. Ulaka inatokana na maji/Juice ya Mabibo ya Korosho yakiwa tayari yameiva kwa kuliwa. Yanakamuliwa kupata hayo maji yake/juice, yanawekwa juani kwa siku 3 had 5, au wanaongeza hamira/yeasts kuharakisha process ndo unapata hiyo pombe.
 
Naona nyingi ni universal kutokana na malighafi kufanana.

Common,Gongo,Wanzuki,Kindi,Lubisi hadi Kabanana zinapatikana usukumani nowadays.
 
Reactions: rr4
Gongo la kule kwetu wanachanganya na Mavi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila JINA KOMONI UKILIBRAND VIZURI POMBE YAKO ITAUZA SANA YAANI LINASAUNDI VIZURI KINYWANI NA LINAVUTIA KIBIASHARA.

Hbu fikiria chupa kama ya Serengeti imepigwa chata imeandikwa komon kwa mandiko flani hivi
 
Kayoga.
Kapamu
Gongo
Malovu
Yote from Kigoma
 
Reactions: rr4
Ila JINA KOMONI UKILIBRAND VIZURI POMBE YAKO ITAUZA SANA YAANI LINASAUNDI VIZURI KINYWANI NA LINAVUTIA KIBIASHARA.

Hbu fikiria chupa kama ya Serengeti imepigwa chata imeandikwa komon kwa mandiko flani hivi
Komoni nimeikuta Tanga ...... Ni Kama Dadii huku kwetu Moshi
 
Kwa Tanga ongezea na boha pombe yetu ya miwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…