Zijue aina za pombe za makabila ya Tanzania

Usiombe choya ikachanganywa na Asali ni tamu balaa pia inalewesha Sana
hapa Warangi na Wasi (Waalagwa) wanaelewa ninacho kisema
Pia Pombe ya Udo, ila tatizo la Pombe ya Udo inaharufu mbaya pia haileweshi haraka

NB: Mimi siyo mtumiaji wa Pombe
 
Gongo ya wakurya bob

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Udo wa warangi nitaupata wapi hapa Arusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…