Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Boss mimi siaminii kabisa ila Nina jamaa zangu ni walozi ile mbaya[emoji3]
siku hizi nimeona kuna trend ya watu wazima tena wenye akili timamu, kulawiti watoto wao.

vipi hii mleta mada,haipo kwenye orodha ya kafara za kutafuta utajiri?.

juzijuzi tu hapa huko arusha, baba kalawiti kitoto chake kivulana cha miaka saba, mpaka waziri mkuu majaliwa kazungumzia.

wakati natazama hii habari kweye TV, nilipatwa na hasira sana kuhusu huyo baba. laiti ningekuwa sehemu ya askari wa magereza, nisingesubiri kesi iishe, ningefanya mpango wa kumuulia mbali akiwa mahabusu, na ningemuua kwa mateso makubwa sana.
 
Dogmatic conformity and pathological ignorance are sadly a commonplace in our society!

This is the age of the information superhighway. You would think there would be a significant decline in the number of people who believe in sorcery and black magic. But seemingly, that’s not the case.

Instead of using the internet as a tool for eradicating ignorance, it is used to spread it! The irony!

Sometimes I feel like I’m the only one left
in Simiyu who doesn’t believe in that bullshit. The only other person being my late pops.

What hope is there when we just had a president [in Magufuli], and a scientist at that, who openly believed in that bullshit?
 
Fafanua zaidi ndugu yangu. Damu ya viumbe gani wanatumia na hizo hela unazipataje na je zina masharti ya kutumia?
 
Mkuu kuamini wewe uchawi haupo haufanyi usiwepo that is the construct of your mind(your wish full thinking) have nothing to do with presence of witchcraft.
Na mtu anaposema uchawi upo haimaanishi ni muumini wa ushirikina kwamba anautumia.
Ni mara ngapi watu wanapelekwa hizo hospitali wanaishia kuambiwa watufte njia mbadala kutoka kwa hao wanasayansi matabibu wa hospitali!?Huko ulaya mna uhakika gani hawaamini katika uchawi!!
 
Natafuta utajiri wa kuangalia porn nikiangalia nipate utajiri
 
Wether it's true or not who cares?
 
Muelezee basi
Alizaliwa 1977 mama yake alikufa alivyokuwa mdogo sana hivyo hakumkuta alimaliza form 4 1996 ila akaamua kumtumikia Mungu hivyo 1997 akawa muumini wa pastor maboya mpaka 2001 ambapo maboya alimtaka akafungue kanisa lake ila alikuwa hana capital maza angu akamsaidia 2001 maana walikuwa wanajuana akaenda moshi kuanzisha kidogo ki huduma chake sema hakikua vizuri kilichukua muda kuwa strong akawa anahuburi sokoni 2007 alioa muajiriwa wa bank bibi yangu alimsaidia kwenye harusi 2008 akapata mtoto wake wa kike wapekee ila kwavile alikuwa hana hela huyo mdada akamuacha wakatalikiana 2010

Kipindi chote hicho bado mshkaji hajapata upako ila 2016 ndo huduma ikawa kubwa enzi za magu akamtupa kawe na alikuwa anamuombea sana janet magufuli alikuwa hata halipi kodi enzi hizo nilivyosikia

Hivyo from 2016 to know huduma yake ikazidi kumea tu ila 2020 unakumbuka kile kisanga chake cha kule moshi ila Mungu alimshikilia tu mkono akamvusha

Na saizi kwa mwaka jana ile huduma yake ya mikoani sadaki inaingia 500m per week ya jpili bado zile za kutumiwa mpesa na huduma zingine zingine

Mwaka mpya pale uwanja wa taifa aliingiza 4B usiku mmoja

Ila jamaa ni mtu wa Mungu kabisa sema katokea jalalani

Mkuuuu haikuwa rahisi
Any more questions ?
 
Aisee,yaelekea unamjua haswa
 
Apostle Kuna muujiza huku
 
Aisee,yaelekea unamjua haswa
Mi namwambia mshkaji anadhani namtania au ni chai na jamaa ana investment kama 13 hivi za maana hapa bongo acha ile hotel yake ya mbeya kaiweka public sana kuna zingine zipo underground
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…