smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
siku hizi nimeona kuna trend ya watu wazima tena wenye akili timamu, kulawiti watoto wao.Boss mimi siaminii kabisa ila Nina jamaa zangu ni walozi ile mbaya[emoji3]
vipi hii mleta mada,haipo kwenye orodha ya kafara za kutafuta utajiri?.
juzijuzi tu hapa huko arusha, baba kalawiti kitoto chake kivulana cha miaka saba, mpaka waziri mkuu majaliwa kazungumzia.
wakati natazama hii habari kweye TV, nilipatwa na hasira sana kuhusu huyo baba. laiti ningekuwa sehemu ya askari wa magereza, nisingesubiri kesi iishe, ningefanya mpango wa kumuulia mbali akiwa mahabusu, na ningemuua kwa mateso makubwa sana.