Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Hii noma aisee
 
D
Huu nao mwingine kuna jamaa mmoja hivi alimjengea mama ake nyumba kali sana kumbe kwenye iyo nyumba ndio jamaa anaenda kumdinya mama ake mzazi jamaa ana pesa kufuru yani mambo mengi mda mchache
Duuh na mama yake amekubali
 
Oky kwaiyo upako upako unapatikana kwa muda fulani huoni kuna janja janja

Inaonekana ww ni mhasibu hapo nitafutie kazi
 
Kama uchawi upo, ithibati iko wapi?

Kusema/ kudai kuwa uchawi upo, hakuufanyi uwepo kweli.

Njia pekee pekee ya kuonyesha kuwa uchawi upo, ni kuthibitisha.

Mpaka sasa hakuna yeyote yule aliyethibitisha kuwa uchawi upo.

Kilichopo ni maneno tu.

Na kumbuka kuwa, mwenye wajibu wa kuthibitisha kuwa uchawi upo ni yule anayedai kuwa upo.

Kazi kwako sasa. Thibitisha zaidi ya maneno kuwa uchawi upo…
 
Nawe unaesema haupo thibitisha kama uchawi haupo sio unaleta hoja za ku google na ndugu yako kiranga
 
Mkuu uchawi hauthibitiki kwa kwenda maabara sababu haufuati science hii inayofundishwa njia rahisi ni wewe kushudia huo uchawi ndio utajua upo.
Wengi wanaosema uchawi upo ni kwa kushudia.
Huko ulaya wanafundisha dark magic, occult na esoteric knowledge mbali mbali.
Scope ya science ni narrow kucover maarifa yote ya ulimwengu
 
Wapi naweza kuushuhudia huo uchawi? Nielekeze niende nami nikaushuhudie basi….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…