Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Duuh sawa😃😂endelea kula ugali washemeji yako kwaamani acha tamaa
Duuh sawa😃😂endelea kula ugali washemeji yako kwaamani acha tamaa
HeyCPH2387
ushaidi tafadhali ama mifano halisiMkuu kuna kitu umeficha, ama mwenyewe haukifahamu!
Utajiri wa "kanyoka", "kafara" na"punje", mwisho wake siyo kufirisika tu, huwa na kifo pia.
Mfano huo wa vipunje, jogoo akidonoa vipunje viwili, ndiyo miaka yako ya kutesa na utajiri na ndiyo idadi ya miaka yako ya kuishi.
Tukija kwenye kanyoka hivyo hivyo, ukikiuka masharti kakafa, na wewe ndiyo mwisho wako.
Kwenye 'hear say' kuna ushahidi kweli!ushaidi tafadhali ama mifano halisi
Wahenga wanasema kuwa kiumbe nyoka hafi haraka, labda amezwe na Cobra, aliwe na nguchiro au laa akutane na mchina.Jua kanyoka kakifa nawe umekwenda
Wakuu mbona simu haziiti😂😂ANAYE HITAJI UTAJIRI HUO WA NDAGU AU D_M_ NICHEKI 0678063140 KAMA UNAITAJI KWELI PIGA HIZO NAMBA
Matapeli kila kona njaa mbayaWakuu mbona simu haziiti😂😂
pigeni simu wakuuMatapeli kila kona njaa mbaya
Njoo inboxWeka namba hapa
Sio mchawi yule ni tapeliWale kina God love Wa TikTok wanatumia upi