Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza hisi ni rahisi ila kugonga kila siku ni mziki mneneKuna moja wanatumia kule msumbiji unapewa kijiti unakiweka kwenye mfuko wa kushoto wa shati au suruali kazi yako kila siku uwe unagonga demu mmoja mpya(note: usirudie kufanya mapenzi na mwanamke mmoja) kadiri unavyofanya mapenzi na wanawake wapya kila siku ndivyo utajiri wako unavyokuwa na kuimarika.. hii dunia ni jehanamu sometimess
Nilishangaa wasomi wengi wanaotegemea Elimu pekee kwann hawafanikiwi kivile... Kumbe Kuna wajomba wapo kublock na kuvuruga mipango za watu na kutumia maisha ya watu kujinufaisha wao.Utajiri ni vita
Mkuu kuna kitu umeficha, ama mwenyewe haukifahamu!Tembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja😀 neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.
👉Utajiri wa Shilingi: hapa unapewa coin inakua inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo)
👉Utajiri wa nyoka: hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara
👉utajiri wa kafara: huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova.
Au mtu anafunga ofisi au taasisi alafu watumishi ndo wanateketea
👉Utajiri wa kidonda: hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.
👉utajiri wa kupunguzwa nguvu: hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi ,unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.
👉Misukule : hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba
👉Utajiri wa punje: hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri
👉Utajiri wa Chuma ulete: huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka🤣🤣.
Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu Wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani Kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri
Nawasilisha
Wee hukomi tu!Hizi zote sijawahi kuzitesti,ngoja nije nijaribu huo wa Nyoka Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu nao mwingine kuna jamaa mmoja hivi alimjengea mama ake nyumba kali sana kumbe kwenye iyo nyumba ndio jamaa anaenda kumdinya mama ake mzazi jamaa ana pesa kufuru yani mambo mengi mda mchacheUmesahau na ule utajiri wa kumgonga mama au dada ako.
Hii dunia ina mambo
Unamzungumzia yule msanii wa bongo flavour nini mkuu?Huu nao mwingine kuna jamaa mmoja hivi alimjengea mama ake nyumba kali sana kumbe kwenye iyo nyumba ndio jamaa anaenda kumdinya mama ake mzazi jamaa ana pesa kufuru yani mambo mengi mda mchache
Eeh! leta mkasa mzima na sisi tujifunze.Yaani hapa ninaposoma huu Uzi Moyo wangu unavuja damu!naandika nafuta!pesa hizi!
Wafanyakazi wana vinasaba Gani...na utajir....Huo wa kuua wafanyakazi naona unakuja kuwa fashion Sana....
Santos06 chuma ulete ni pepo la kimasikini haliwezi kumpa mtu utajiri zaidi ya kula yake ya siku tena chakula duni cha kawaida mnoTembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja[emoji3] neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.
[emoji117]Utajiri wa Shilingi: hapa unapewa coin inakua inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo)
[emoji117]Utajiri wa nyoka: hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara
[emoji117]utajiri wa kafara: huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova.
Au mtu anafunga ofisi au taasisi alafu watumishi ndo wanateketea
[emoji117]Utajiri wa kidonda: hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.
[emoji117]utajiri wa kupunguzwa nguvu: hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi ,unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.
[emoji117]Misukule : hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba
[emoji117]Utajiri wa punje: hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri
[emoji117]Utajiri wa Chuma ulete: huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka[emoji1787][emoji1787].
Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu Wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani Kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri
Nawasilisha
Mkuu watu tayari wame generalize mambo, hii ni kutokana na story tunazozisikia tangu tunakua kwenye jamii inayotuzunguka na vingi tunaamini pasi na ushahidiUkifanikiwa kidogo watu huwa wanaamua kukutengenezea stori ambayo hujawahi kuiishi
Hasa hizi biashara za usafirishaji huwa kuna changamoto nyingi sana unajitahidi uiweke gari kwenye hali nzuri na marekebisho ya mara kwa mara unafunga tairi mpya ila zinapasuka gari inaanguka inaua watu Unaambiwa umetoa kafara.
Unapambana had na madereva wako unawaambia hutaki gari zako zikimbie, zifate utaratibu na Sheria za barabarani hutaki ligi ila unakuja kusikia imegongana uso kwa uso na imeua watu 9 na wafanyakazi wote waliokua wamekaa mbele na chanzo Cha ajali ni Lori lililo overtake bila tahadhari ila stori itatengenezwa kuwa mmliki ndo umetoa kafara
Nakubaliana na wewe ila Kuna ajali za uzembe ila Kuna ajali ni chini ya pazia bisha ama usibisheUkifanikiwa kidogo watu huwa wanaamua kukutengenezea stori ambayo hujawahi kuiishi
Hasa hizi biashara za usafirishaji huwa kuna changamoto nyingi sana unajitahidi uiweke gari kwenye hali nzuri na marekebisho ya mara kwa mara unafunga tairi mpya ila zinapasuka gari inaanguka inaua watu Unaambiwa umetoa kafara.
Unapambana had na madereva wako unawaambia hutaki gari zako zikimbie, zifate utaratibu na Sheria za barabarani hutaki ligi ila unakuja kusikia bus imegongana uso kwa uso na imeua watu 9 na wafanyakazi wote waliokua wamekaa mbele na chanzo Cha ajali ni Lori lililo overtake bila tahadhari ila stori itatengenezwa kuwa mmliki wa bus ndo umetoa kafara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapana mkuuUnamzungumzia yule msanii wa bongo flavour nini mkuu?