Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Kuna x wangu mmoja yeye nahisi anatumia utajiri wa hivyo,anamiliki mabasii ya mkoani jaman ,ila ukiambiwa huyu ndio anahayo magari unakataa Kwanza ni mdogo kwa maisha ya bongo umri ule kumiliki magar ya mkoa,afu yuko rafu,siyo mchafu ila hajui kupangilia kiasi kwamba ukionyeshwa ndio mmliki wa hayo magari lazima kengele kichwan zilie,afu kayapata gaflaa tu,ila siyo mchoyo ukimuomba hela ila sasa anatoa hela saa 12 jioni tu,tofauti na mda huo hakupi
😲😲😲 Kimbia haraka hapo
 
Kuna jamaa alipelekwa kwenye Ushirikina wa kutafuta pesa kwa Punje za Mahindi.

Mahindi yalimwagwa Jigoo akatokea Porini hana manyoya kabisa na kufika uwanjani penye mahindi.

Akaanza Kula mbegu moja hadi nyingine huku jamaa anahesabu, roho imemsimama.

Jogoo akameza punje kama thelasini hivi huku jamaa akishangilia kimoyomoyo. Halafu Jogoo akaanza kuondoka.

Alivyo ingia tu msituni bila kupoteza muda Jogoo alirudi uwanjani akikimbia.

Akatapika mbegu 23 zikabaki 7 akatokomea msitutuni kimoja.

Jamaa kweli anasimulia kuwa alifanikiwa kupata pesa katika kipindi chake.

Lakini hakudumu nazo, ni kipindi kidogo alifirisika hadi akawa omba omba.

Zile sio Pesa ni mauzauza tu ya kukudanganya ili umpe Roho yako Shetani.
 
Boss hakuna pesa ya shortcut isiyokua na mashariti
Maendeleo ya short cut ni yale ya kufuata masharti ya aliyekuumba. Sharti la kwanza- Toa sadaka, sharti la pili- toa Zaka.

Yote yafanye kwa moyo mkunjufu na utatoboa tu. Si utoe huku unalalamika lalamika, hapo hujafanya kitu.

Aliyekuumba ni Mmiliki wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yake, na ni Mmoja tu na hana mshiriki, hajazaa wala hajazaliwa na ni wa milele.

Ila usitoe kwa wale matapeli wanaomiliki nyumba za ibada, na kuchangisha pesa kila kukicha na kujinunulia ma V8.
 
Maendeleo ya short cut ni yale ya kufuata masharti ya aliyekuumba. Sharti la kwanza- Toa sadaka, sharti la pili- toa Zaka. Yote yafanye kwa moyo mkunjufu na utatoboa tu. Si utoe huku unalalamika lalamika, hapo hujafanya kitu. Aliyekuumba ni Mmiliki wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yake, na ni Mmoja tu na hana mshiriki, hajazaa wala hajazaliwa na ni wa milele.

Ila usitoe kwa wale matapeli wanaomiliki nyumba za ibada, na kuchangisha pesa kila kukicha na kujinunulia ma V8.
Amen
 
Back
Top Bottom