Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Zijue aina za utajiri wa kichawi zinazoshika kasi kwa sasa

Tembea uone mambo ya ajabu yaliyopo Tanzania hii, yaani ukiwa mtanzania tayari umeshajiunganisha na mambo ya shirki Moja Kwa moja😀 neema ya mungu ikuokoe tu. Usione mtu ana push ndinga kali ana drip na ni kijana mdogo tu, we jua utajiri una Siri nyingi sana. Hizi ni baadhi ya aina ya utajiri watu wanatumia.

👉Utajiri wa Shilingi: hapa unapewa coin inakua inakuingizia pesa ukikosea mashariti inapotea unarudi kapuku (rupee hizi wakinga ndo wanazo)

👉Utajiri wa nyoka: hapa unapewa kanyoka kadogo kadiri kanavokua ndo utajiri wako unaongezeka na Kila mwaka inabidi utoe sadaka kurenew huyo nyoka ukibugi unarudi katika ufukara

👉utajiri wa kafara: huu wengi hawautaki siku hizi na hata wakitumia hawataki kuua ndugu zao siku hizi mtu ana magari anatoa kafara gari linaanguka watu wanateketea ova.
Au mtu anafunga ofisi au taasisi alafu watumishi ndo wanateketea

👉Utajiri wa kidonda: hapa unakua na kidonda ambacho akiponi na kadiri unavotumia Mali zako ndo kinaongezeka. Unachagua wewe kidonda kiwe sehemu Gani ya mwili.

👉utajiri wa kupunguzwa nguvu: hapa unachagua kiungo kimoja ambacho kinatolewa nguvu kichawi ,unakua nacho ila hakifanyi kazi. Mfano jicho, mtu anakua na macho yote mawili ila ni Moja ndo linafanya kazi kidole, mkono hata pumbu.

👉Misukule : hapa unamiliki Misukule ambayo inakua inakufanyia shughuli zako zote huku wewe umekaa umekunja nne, huu upo vijijini Kwa shughuli za shamba

👉Utajiri wa punje: hapa inaenda Kwa mganga anakupa jogoo lililoshiba usishangae likala punje mbili tatu tu na hio ndo inakua miaka yako ya kusumbua ukiwa tajiri

👉Utajiri wa Chuma ulete: huu nao watu hawautaki siku hizi maana kuumbuka nje nje. Kuna mzee mmoja aliwahi vutishwa mavi duka lake lilinuka kinyesi watu walichezesha mkeka🤣🤣.

Jamani zinatosha ila mambo ni mengi muda mchache watu Wana macho lakini hawaoni mtu anamasikio lakini hasikii yaani Kwa kifupi hakuna pesa ya shortcut yenye mwisho mzuri

Nawasilisha
Kuna moja wanatumia kule msumbiji unapewa kijiti unakiweka kwenye mfuko wa kushoto wa shati au suruali kazi yako kila siku uwe unagonga demu mmoja mpya(note: usirudie kufanya mapenzi na mwanamke mmoja) kadiri unavyofanya mapenzi na wanawake wapya kila siku ndivyo utajiri wako unavyokuwa na kuimarika.. hii dunia ni jehanamu sometimess
 
Kuna moja wanatumia kule msumbiji unapewa kijiti unakiweka kwenye mfuko wa kushoto wa shati au suruali kazi yako kila siku uwe unagonga demu mmoja mpya(note: usirudie kufanya mapenzi na mwanamke mmoja) kadiri unavyofanya mapenzi na wanawake wapya kila siku ndivyo utajiri wako unavyokuwa na kuimarika.. hii dunia ni jehanamu sometimess
Sasa mwisho SI unachukua ngoma unakonda adi kichwa
 
Back
Top Bottom